Recent content by LEGE

  1. LEGE

    Nahitaji mwenye diagram ya IST 1NZ FE na 2nz FE

    njooo aisee nyumbani kumenoga sana kunazidi kkuwakwa moto sana ..1j
  2. LEGE

    Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)

    angekuja angefanyiwa kwa bei chee hizo zote unatoa na kuweka off maisha yanasonga
  3. LEGE

    Kuna mafundi Hyundai Santa FE Tanzania?

    hahahaha Hyundai kweli ndio yakuchachafya watu..broo maisha umebadilika sana now days harafu hakuna cha ajabu kwenye hizo gari zaidi labda spare ..kwanza huwa nashangaa kama maagizo magari ya milion 10 mnashindwaje kuagiza spare za milion 2 au 3 ..shida kubwa huwa ni spare na sio mafundi kwa sasa
  4. LEGE

    Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)

    utakavyo kufanya ww ni hardwere na lazima kitakuwa detected kwamba kuna problem mahali.. control ndio huwa inafanya kazi ya kuadjust mafuta kutokana na taarifa inayopokewa kutoka kwenye oxygen sensor itakachofanya inaongeza kiwango cha mafuta.. so we ukitaka mambo yawe sawa kwenye gari...
  5. LEGE

    Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)

    yes yes yes..hapo kwenye kutoa masega .usiumize sana kichwa upo na simu unatumia internet ka google advantege ya kuremove CAT na DPF . na pia hapo kwenye masega kutoa mm hapo nazungumzia kutoa kitalaam sio kiholela..unatoa masega harafu unakwenda kwenye MAP ya ECU una remove/tune cancel CAT...
  6. LEGE

    Wapi naweza kupata launch scanner bluetooth easy diag ya diagnosis machine ya magari kwa bei nafuu hapa Dar es Salaam

    sikia kkwanzakwa kukusaidia huwezi kuwa na mashine moja ikamaliza kila kitu..ukitaka mashine ya kihivyo ww huwezi inunua zipo mashine za 1 man show..independent tool..kuna mashine inaitwa AUTO LOGIC itafute ifuatilie ikiwa full utakimbia..but waweza inunua au makampuni makubwa yananunua na...
  7. LEGE

    Athari za kutoa masega kwenye gari (catalytic converter)

    hapo napingana na ww kidogo sana ..kwanza kwenye athari ukitoa masega kitakacho tokea air fuel ratio itapotea itakayokuwa inasomwa kwenye gari na oxygen sensor kitakachotokea hapo ECU ita adjust kiasi cha mafuta itaongeza ili kubalance ratio iwe sawa..hapo kwenye upande wa umeme na ecu...
  8. LEGE

    Nahitaji mwenye diagram ya IST 1NZ FE na 2nz FE

    hahahaha unaona sasa ulikuwa navyo na hukuweza kuvitunza sababu ulivipata kwa slope sana..ungeviacha pale ofisini mpaka leo vingekuwepo shida madogo nyie wabinafsi sana..ofisin vilikuwa vinawasaidia wote ww na wenzio leo wenzio wanapata shida coz nyie mlihamishia kwenu..zile chache mlizoziacha...
  9. LEGE

    Nahitaji pdf manual ya Nissan Dualis 2009

    www.cardiagn.com acheni uvivu mafundi piganisheni akili zenu
  10. LEGE

    Nahitaji mwenye diagram ya IST 1NZ FE na 2nz FE

    fundi acha uvivu fundi acha kutaka vya bureee..mseleleko utakufanya kila siku uwe nyuma diagram za bure haziwezi kidhi haja zako utapewa nusunusu..coz 1nz ipo kwenye body nyingi utapewa pin chache coz nyingine zinabadilika kutokana na body ya gari all in all mm nipo na diagram zooote gari...
  11. LEGE

    Naomba kujuzwa Gereji nzuri ya kufanyia Diagnosis Dar es Salaam

    mkuu kwaharaka haraka na kwa uzoefu wangu hapo gearbox ndio anaanza kuwa bye bye na mara nyinyi wenye magari ndio mnaziua bila shaka gari yako gearbox yako ni ya CVT sasa wengi wenu niwabishi mnaweka oil ya kawaida hapo ndio shida huanza na itaendelea hivyo mwishowe kwa style hiyo itakata...
  12. LEGE

    Ipi inafaa kwenye gari kati ya battery ya maji na dry?

    ni ngum sana kuelewa hizi mambo vijana wa leo wavivu wavivu ndio maana hata kuendesha manuall hawawezi wanalalamika..dereva wa zamani ni nusu fundi asilimia stini anatengeneza mwenyewe au faham matatizo ya gari.. wengi wanaongopeana kwamba dry cell sijui bettry wakiamin kwamba hazina maji.na...
  13. LEGE

    Ipi inafaa kwenye gari kati ya battery ya maji na dry?

    all in all betri zote zina maji hakuna dry cell sijui dry bettry..
  14. LEGE

    Je, kuna uhusiano kati Plag na ulaji wa mafuta?

    lkn tip kujaa uchafu au plug kujaa uchafu husababishwa na vitu vingi..plug zinaweza zikawa mpya au mda wakubadilishwa haujafika lkn ukaziona zimechoka kwa mfano air clener ikiwa chafu..valve seal zikiwa majanga kwa namna yoyote ile oil ikawa inaingia kwenye chember
Back
Top Bottom