Nahitaji mwenye diagram ya IST 1NZ FE na 2nz FE

Me naaminiii humuuu kuna zaid ya intelligence ya hao waliotengeneza gariii hivyo ngoja tuwasubiriii waje wenye hizo diagrams mkuu
 
Mfano wa diagrams ni kama huu jaman mwenye hiyo diagrams naomba wakuu wa boma humuuu ndaniii igweeee karibu kwa mwenye nayo
20210917_111807.jpg
 
Kama kichwa cha habari hapo kinavyoeleza maombeni msaada wa DIAGRAM ya ist yenye engine ya 1nz fe na ile ya 2nz fe kwa mwenye nazo anisaidie wakuu nina shida nazo kwa mwenye nazo naomba me na kwa faida ya wengine

Karibuni
stoplight
fundi acha uvivu fundi acha kutaka vya bureee..mseleleko utakufanya kila siku uwe nyuma diagram za bure haziwezi kidhi haja zako utapewa nusunusu..coz 1nz ipo kwenye body nyingi utapewa pin chache coz nyingine zinabadilika kutokana na body ya gari all in all mm nipo na diagram zooote gari yoyote hapa hata za mwaka 2021 ww njoo..shida mkipewa bure hamdhamin na kusababisha ufundi una drop..

ofisin pale kulikuwa na kabati la diagram na daftari zote mme vijana wameiba na kuzipoteza..

unafanya kazi ya mtu smart lipa kuanzia 10$ online acount kwa wiki 1 gari zote unapata diagram nnakilakitu ..au chini ya hapo mpaka 3$ au 5$ kwa gari moja tuu..au njoo mm nipo na acount nimelipia na huwa na lipia kwa mwaka ..nitakupa diagram original za gari husika .
 
Mkuu nakupata vipiii kiongoz me nilikuwa navyo ila nilivyohama toka sehem 1kwenda nyingine vitu viliibiwa vingine watt wametupa yaniii mkuu ndo maana naanza upya kutafuta nipe namba nikucheki au nicheki kwa 0653271318 iwe WhatsApp au kawaida ndugu yangu
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom