Recent content by Leevan G

  1. Leevan G

    Kwanini serikali imebariki magari ya viongozi wa serikali kuwa namba feki? Mwanzo nilizani ni uhuni wa madereva kumbe wanapewa wabandike feki

    Sio kweli.. Gari za Serikali husajiliwa direct kwa namba za Serikali (ST) kwa Serikali Kuu, (SM) kwa Local Gvt, (SU) kwa mashirika ya Umma, yale ya majeshi (JW, UT, PT, MT) na (DFP) kwa miradi/NGO zenye ubia na Serikali. Hakuna double registration. Hizo namba za kiraia zinapachikwa tu kuficha...
  2. Leevan G

    Vifaa muhimu kwenye hardware

    Kwa mil hizo anza na vifaa vya umeme na vifaa vya bomba. Vingi ni vidogo vidogo na kwa bei ya jumla utapata vingi na utokaji wake ni wa uhakika. Vingine utaongeza kulingana na eneo ulipo
  3. Leevan G

    52 weeks saving Challenge... Hivi watanzania Tuna Shida gani?

    Hizo zote ni njia tu za kusave whichever the modality. Mfano mimi nilijiwekea kila fedha nayopata kuanzia 50,000 na kuendelea lazima niikate kodi 10% ambayo inaenda huko kunako savings Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
  4. Leevan G

    Suicide au Murder? Wakali wa hizi kazi twendeni

    Suicide; and the man is rght handed too laptop ipo kushoto index finger iko still na vitu vimetapakaa upande mmoja that shows hapakuwa na purukushani ya mtu zaidi ya mmoja. Kule dirishani ni geresha2
  5. Leevan G

    February 2015 mwezi wa ajabu [ambao hutokea kila baada ya miaka 826]

    Zipo february nyingi tu 2009, 2003, 1997.... kila baada ya miaka 6 hutokea hivi
  6. Leevan G

    Nifahamisheni viwanda hivi viko wapi?

    Halo, inasikitisha sana, kila nikipita pale General tyre roho inauma sana nikisogea mbele nakutana na Fibre Board, nakumbuka ABB Tanelec, TEMDO, NMC (unga ltd),TFA,ACU,TPRI na vingine. Ndugu na jamaa zetu wengi zamani walikuwa wanafanya kazi humo, ajira zilikuwepo. Wakati tunaenda shule asubuhi...
  7. Leevan G

    Ndugu wana JF

    Asanteni sana wakuu. Tupo pamoja.
  8. Leevan G

    Ndugu wana JF

    Kwanza nishukuru sana kwa kupata fursa kuwa jf member. Nimekuwa nikifuatilia sana mambo mengi humu kama 'visitor'kwa miaka mi3 hadi hivi leo nimejiridhisha kuwa Member. Natumai ntaendelea kujifunza mengi zaidi. Karibuni Lindi/Mtwara.
Back
Top Bottom