Recent content by Leesun

  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada anayejua App nzuri ya vitabu

    Lib.genesis
  2. L

    JamiiForums Tanzania Dawa gani ilikusaidia kwenye ugonjwa wa vidonda vya tumbo?

    Kwa upande wangu nilitumia sana dawa za hospitali lakini kiukweli ilikuwa nikama zinatuliza kwa muda.. Jambo lililofanya ni kuepuka kitu chochote ambacho ni kila .. kinafanya kuamsha vidonda tumbo... Kwa mfano dagaa..ni mwaka wa nne sasa situmii.. na vinginevyo..
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu

    Life is complicated
  4. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya ualimu

    Habarini ndugu, jamaa na marafiki. Mimi ni mwalimu wa Chemistry na Biology. Nina uwezo wa kufundisha primary, secondary na advanced level. Nipo mbeya. Please mwenye kujua shule yenye uhitaji au connection anijulishe. Namba ya simu: 0766698323
  5. L

    JamiiForums Tanzania Umepitia/Unapitia changamoto gani tangu umalize chuo mpaka sasa?

    Daah maisha ni magumu xannaaa especially ukikosa kazi kulingana na proffesional yako....aaah ni hatari na ni ngumu kuelezea mpaka yakukute...
Back
Top Bottom