Recent content by Leele

  1. L

    Je, Tanzania Kuna Atheist Society? Kama Hakuna, Kwanini?"

    Sio lazima kila kitu kiwepo kila mahali huenda sio mhimu Jambo Hilo kuwepo hapa kwa muda huu, lakin pia kwa nn kisiwepo je umejiuliza kwa nn kiwepo? Je umefanya tafiti kujua ni hitaji la jamii ama ni kwa vile tu tunataka kiwepo?
  2. L

    GE2025 Watumishi wa Umma hatuna deni na Mh Samiah Hassan Suluhu

    Kimsingi amejitahidi hatuwez kusema kwamba hajafanya chochote hapana amejitahidi sana lakin angefanya marekebisho hayo maana taarifa zinasema uchumi wetu unaendelea vzr,na mabenki yanatengeneza billions of money Kama faida basi ashushe riba za mikopo japo kidogo tunajua kuwa ushindi ni wake...
  3. L

    GE2025 Watumishi wa Umma hatuna deni na Mh Samiah Hassan Suluhu

    Kiukweli mama amefanya vizur kwa uwezo wake na mambo yanaoneka na ila kwa watumishi ikiwa ataweza kushusha riba ya mikopo ya mabenki kwa watumishi angalau ikawa 13% Kama zamani na akaweza kubadili utaratibu wa kulipa bima ya mkopo kwa mkupuo ikawa Kama zamani kulipa kwa kila mwezi, nakwambia...
  4. L

    Bodi ya mikopo elimu ya juu(HESLB)

    Nisaidie kujua wanatoa pia na kwa wanaosoma nje ya nchi hasa kwa Africa mashariki?
  5. L

    Serikali iondoe utaratibu wa kukata bima ya mkopo kwa mkupuo kwa watumishi wanapochukua mkopo bank

    Nakubaliana na shauri wako ndugu lakini ni vizuri kutambua kwamba Kila mtu anafanya Jambo kwa malengo yake baadhi ya biashara unazoziona zimesimama, wanafunzi kusoma vyuo vikuu na mengineyo ni kwa sababu ya mikopo hivyo basi sio Kila mkopo utakufanya uwe na maisha duni inatemea mkopaji
  6. L

    Serikali iondoe utaratibu wa kukata bima ya mkopo kwa mkupuo kwa watumishi wanapochukua mkopo bank

    Tunajua kuwa watumishi wengi karibu wote wanatumia mikopo kuendeleza/kuanzisha biashara zao,kusomesha watoto,kujisomesha na mambo mengine. Hapo miaka ya nyuma kidogo bima ya mkopo ilikuwa inalipwa kwa awamu mpaka mkopo unaisha hii ilitoa nafuu kubwa Sana kwa mkopaji kwa sasa bima hii inakatwa...
  7. L

    CRDB BANK tunaomba ufafanuzi baada ya mikopo ya utumishi kutumia mfumo wa ess

    Crdb sijui wengine lakin Hawa jamaa ni shida lakini pia tuangalie vzr Kuna laana fulan hv katika mikopo. Bima wanakata kwa mkupuo mmoja sio Kama zaman ukiuliza Hawana sababu za msingi kwa mteja processing fee Kama yote duu. Ndo maana baadhi maandiko yanakataza mikopo Kuna wz huko.
  8. L

    Umekutana na kero gani benki ambayo ilikukwaza na kukupotezea muda? Wataje hapa wajirekebishe

    Ukweli mm Sina kero kwa mabenk isipokuwa moja tu kwa nn unapochukua mkopo hasa kwa wafanyakazi Kuna Ile bima ya mkopo zaman kidogo bima hii ilikuwa inalipwa kidogo kidogo mpaka unamaliza mkopo lakin siku hizi wanakata kwa mara moja ukweli Jambo hili lingerudishwa Kama zaman maana lilikuwa...
  9. L

    Naamini Mungu yupo ila nashindwa kuuelewa ukamilifu wake, labda muendelee kunifunza

    Hicho kinachofanya ushindwe kuelewa ukamilifu ndo ukamilifu wake sababu wewe na yeye level tofauti kabisa .
  10. L

    DOKEZO TRA, kodi za kuingiza Magari ni kichefuchefu kwa Wananchi

    Hiv mkuu ukiwa nchi jirani ukanunua gari ukiwa huko hv kulileta hapa kwetu Kuna usumbufu tena ama huwa inakuwaje?
  11. L

    Ushauri kwa Serikali: Riba na bima ya mkopo

    Serikali tangu awamu ya tano haipajandisha mshahara wala kulipa malimbikizo kwa watumishi hata hii ya sita japo inasema wamepandisha lakini ni ongezeko kidogo sana kiasi ambacho hakileti mabadiliko yoyote kwa maisha ya mtumishi japo gharama zinabadilika kila uchao. Pamoja na hayo watumishi...
  12. L

    Hii hapa ni nafasi yako ya kuibadili dunia, itumie

    Aweke hapo kwa manufaa ya wengi
  13. L

    Chanjo za Kupambana na Corona (COVID-19): Nini Maoni na Mtazamo wako?

    Kwan ukichanjwa hutaambukizwa tena au inakuwaje? Wataalam wa chanjo nisaidieni kujua tafadhali.
  14. L

    Watumishi 9 wa Kitengo cha upimaji wa COVID - 19 Uwanja wa JNIA Nyerere wasimamishwa kazi kwa kutofika kazini

    Hata katika mahospital watumishi wana hangaika na wagonjwa was aina hiyo lakin hata motisha tu hakuna wakati wanahatarisha maisha yao kila siku lakin hill hawajali.serikali ijiulize hapo si bure.
  15. L

    Ushauri: TCU kutowatambua waliosoma Engineering Science kusoma shahada za Sayansi inawaumiza waliosoma Shule za Ufundi

    Mkuu tathmini yako ya wepes ama ugumu wa engineering science sio sawa sijui umezingatia nn kutoa majibu yako. Ila kiukweli kama ww sio mtu makin kwenye somo kutaga ni kugusa tu.
Back
Top Bottom