Recent content by LeeBobLee

  1. LeeBobLee

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kunusurika kifo? Ulijisikiaje vile unaona kabisa unaondoka

    Nakumbuka ilikuwa mwaka 2021 niko zangu road na bajaji ya deiwaka natokea buza kwa mama kibonge namuwahi wife home Temeke mikoroshini baada ya kupigiwa simu kuwa amezidiwa sana. Alikuwa na mimba ya miezi mitano ila ilikuwa ni aina ya zile mimba zenye usumbufu mwingi. Leo likiisha hili kesho...
  2. LeeBobLee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sababu 12 kwanini usimsamehe mwanamke msaliti…

    MSALITI HASAMEHEWI [emoji777] Back in the days mwaka 2017 wakati nd'o naanza kujitafuta kimaisha nikiwa bado chalii mwenye kiu ya mafanikio nilichomoka home nikaenda mbali na kuanza kujitegemea. Alhamdulillah life likanyooka fresh tu. Katika misele yangu nikakutana na manzi fulani ya kawaida...
  3. LeeBobLee

    JamiiForums Tanzania Yanga yupo kwenye kundi gumu ila fixture inaweza kumbeba

    Jogoo jike.. (Mtetea)[emoji1787]
  4. LeeBobLee

    JamiiForums Tanzania Orodha ya wasanii wenye majina makubwa lakini kiuhalisia hawana vipaji

    Mike Tee!!! Hivi unamjua au unamsikia tu.. Kamwene Mwanamkage[emoji41]
  5. LeeBobLee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeona nijiunge rasmi kwenye "NoFap" Challenge

    NAANZA LEO. NITARUDI TENA HAPA BAADA YA MIEZI 3. Let's do this..[emoji3578]
  6. LeeBobLee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huu ni mtego au...?

    Duh! Sawa mkuu.
  7. LeeBobLee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huu ni mtego au...?

    Hahah! Aisee
  8. LeeBobLee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huu ni mtego au...?

    Namjua kiasi pia nina mawasiliano na ndugu yake wa kike ambaye ni pacha wake anaishi Zanzibar.
  9. LeeBobLee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huu ni mtego au...?

    Kwa nini mkuu? Kabila lina shida gani hapo?
  10. LeeBobLee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huu ni mtego au...?

    Kivipi?
  11. LeeBobLee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huu ni mtego au...?

    Kiukweli nilishtuka baada ya kuniambia ni single mother. Binafsi siko interested na singles mother nimeamua kulikubali hilo sababu ya nguvu ya upendo. Tuliongea mengi hapa kati na niliwahi kumgusia kuwa natamani kufika Tanga na kujionea ukarimu wa watu wa huko pamoja na vivutio vingine vya...
  12. LeeBobLee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huu ni mtego au...?

    Aisee usiniambie ndio wewe mwenyewe ukhty wangu.
  13. LeeBobLee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huu ni mtego au...?

    Nilimuuliza mimi.
  14. LeeBobLee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huu ni mtego au...?

    Asante sana.
  15. LeeBobLee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijui huu ni mtego au...?

    Na hiyo nd'o hofu yangu maana hadi kupata hilo jibu lenyewe amenizungusha kidogo sasa iweje kwenye jambo hili liende haraka hivi.
Back
Top Bottom