Recent content by ledman

  1. ledman

    Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

    Usijali zitatoka bwana mwezi wa 4 mnaenda mwezi wa 5
  2. ledman

    Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

    Upo sawa kabisa mi hata bila kusoma hayo mawebsite nasubiri mwezi wa nne
  3. ledman

    Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

    Majina mwezi wa nne kuripoti wa tano mkuu
  4. ledman

    Ajira mpya za walimu, pesa za kujikimu

    Ha ha ha ha wacha tupige tu
  5. ledman

    Elimu maalum Tanzania

    Ha ha ha ha ha ha umeona ee ndo hivyo mi nami nimesoma Secomu na nshaajiriwa bt sijaona utofauti labda faida nimepangwa town tu sijapelekwa kantalamba
  6. ledman

    Elimu maalum Tanzania

    Waliosoma spécial na ambao hawajasoma spécial wote sawa mwenzangu lambda davantage iliyopo waweza pangwa town lkn mbali na hapo mshahara ni ule ule
  7. ledman

    Serikali kuajiri Zaidi ya walimu 35,000

    Wa mwaka juzi Ajira zao zilitoka mwezi wa pili mwezi wa Tatu wakaripoti mwaka Jana Ajira zilitoka mwezi wa 3 wakaripoti mwezi wa nne sasa unadhani nini kinachofuata,mkuu kuwa na subira
  8. ledman

    Serikali kuajiri Zaidi ya walimu 35,000

    Ngoja tuone yetu macho we jua kwenye Ajira mwezi wa tano
  9. ledman

    Serikali kuajiri Zaidi ya walimu 35,000

    Sio kukariri ndio ukweli wenyewe sasa kama zitatoka kabla ya mwezi wa nne yangu macho,Ajira ni mwezi wa 4 kuripoti mwezi wa tano habari ndo hiyo
  10. ledman

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Ha ha ha ha ha ha ha duh
  11. ledman

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Majina mwezi wa nne kuripoti mwezi wa tano
  12. ledman

    Serikali kuajiri Zaidi ya walimu 35,000

    Sa hivi kila mtu atatabiri Yake bt Ajira zinatoka mwezi wa nne kuripoti mwezi wa tano,ni system fuatilia Ajira za miaka iliyopita zilikuwa ln
  13. ledman

    Ajira za Ualimu 2015/2016 zinatoka lini?

    Ngoma mwezi wa nne majina kuripoti mwezi wa 5
  14. ledman

    Ajira za ualimu na sura mpya, nachoka kabisa

    Ajira mwezi wa 4 kuripoti mwezi wa tano so endeleeni kuwapa saport wazazi nyumbani ni kipindi cha mpito tu
Back
Top Bottom