Ndoa ni mpango wa Mungu,na nimpango wa kudumu yani muishi milele,na Mungu anachukia sana wanandoa kuachana,huyo mmeo uliefunga nae ndoa ndo aliumbwa kwa ajiri yako huyo mwingine ni shetani tu anakutumia,muombe sana Mungu roho ya uzinzi ikutoke maana maandiko yanasema Mungu atawahukumu wazinzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.