Hivi kwanini uolewe au kuoa mtu ambaye unajua hata kwenye ndoa atakunyanyasa?

Men get into marriage hoping that the woman in their lives will never change. That she will continue to be gorgeous, loving and probably a good cook.

Women get into marriage in the hope that the man in their life will change. That he will have less friends, drink less, come home early etc.

Just to be shocked at how things turn out just two years into marriage.
 
Asilimia kubwa uwa wanaacha pale wanapoingia katika ndoa ila ni kwa wale tu wanaojitambua kuwa wapo katika maisha gani.
 
kulazimisha penz chafu kisa kuonekana upo kwenye ndoa ni tatizo
 
Nguvu za giza zinatumika sana hasa ukiwa muwazi , Mleta Mada Unamkumbuka yule Mage wa Chalinze? aliye danganywa na mjeda eti ni Rubani? alivo kuwa cha Pombe? na Malaya? heee!
 
Back
Top Bottom