Recent content by le prof

  1. L

    JamiiForums Tanzania UKAWA wapi wamepatia/kukosea?

    Umenena kwa urefu tafadhali embu tupe(if any) uzuri/usahihi wa Hatua waliofikia UKAWA @ EAST AFRICAN EAGLE
  2. L

    JamiiForums Tanzania UKAWA wapi wamepatia/kukosea?

    Tafadhali embu tuambiane ukweli taifa hili ili lisonge linahitaji ukweli. Naomba tujadili kwa uwazi na ukweli ni wapi UKAWA walipokosea na kupatia katika harakati za kuandaa katiba mpya?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta scholarship au udhamini kusoma masters

    Natafuta scholarship niweze kupata masters nina first class ya Baed ila maisha magumu na natamani kujiendeleza yoyote anayeweza kunisaidia hata kwa makubaliano tafadhali nisaidie.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ufahamu wa uwekezaji katika masoko ya hisa

    Habarini wadau? Nitokea kutamani kuwekeza ktk hisa za gesi na mafuta, lakini sina uwelewa mpana juu ya undeshwaji wa biashara ya hisa, hasa nawezaje pata faida na risks/ threats ni zipi? Tafadhali nijuzeni!
  5. L

    JamiiForums Tanzania RE: F. Mbowe mbona umetelekeza jimbo ?

    Naomba kuongezea... 1.Barabara inayounganisha vijiji vya wakulima vya mijongweni, weruweru, kiyungi, chekereni kupitia Bonite Bottlers hadi moshi mjini ina mashimo,vumbi na haipitiki ..Bararbara hii imemshinda katka vipindi vyote alivyokuwa mbunge.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Vipi kuna kweli katika hili?

    "MPYA ILIYO HEWAN KWA LEO" TGTS A1 346,000 TGTS B1 394.000 TGTS C1 582,500 TGTS D1 639,000 TGTS E1 819,000 TGTS F1 1,053,000 TGTS G1 1,370,000 TGTS H1 1,784,000 TGTS I1 2,465,000, Hii ndio mishahara mipya iliyotokana na mjadala wa miaka karibu 5 kat ya CWT NA SERIKALI Inaanza kutumika...
Back
Top Bottom