Hahahaaaa mkuu acha tu..same womb lakini vitu tofauti kbsaaa..
Maamuzi ninayo ndio maana natafta msaada..
Najua inavyopaswa kuwa..ndo maana kila leo watu wako makanisani au miskitini wakitatafta kuwa watu bora na wenye kupendeza mbele za watu na Mungu
Ko hta na Mimi najua nachotaka ila nahtaji...
Tafuta mtumishi wa Mungu unayemuamini aweze kukusaidia tofauti na hapo ni ngumu kutoka baadhi ya dhambi zinakosa nguvu mpaka uungame kwa mtu mfano uzinzi
Yakobo : Mlango 5
16 Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa...
Don't try this..hii kitu ni shida..unaanza kma utani..unakuja kustuka ushadumbukia parefu...inaumiza hii dhambi ni Kama madawa ya kulevya..unaumia ndani lakini umo tu..Leo unaapa ndio mwisho..siku isiyo na jina unarudia tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuu...nilishajitutumua kipindi cha nyuma...Hadi nikamtaftia mtu moja ya marafiki zangu.. lakini haikufanya kazi..
Huwa hatuwasiliani mara kwa mara...lakini nikukutana nae nashindwa kuishinda nafsi..
Sent using Jamii Forums mobile app
I have tried this before...nlikata means of communication kwa miezi Kama minne ila ilitokea tukakutana kwenye sherehe za mwisho wa mwaka nikaishia kuharibu Mambo asee
Sent using Jamii Forums mobile app
It happens one day alintembelea baada ya Mimi kwenda kumsaidia ucku aliuguliwa na watoto ghafla ucku..so I went to her house and took her to the hospital.. that night.
So after two weeks akawa amepita mtaani kwetu akaniuliza kma nipo anisalim coz since that day hatukuwa tumeonana kbsa...
My wife introduce me to her..Sasa katika kuwa tunasalimia hapa na pale..tukajikuta tumeteleza na kuvuka mipaka...
Bt I really want stop for good..mtu mwenye maarifa please wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu natumaini mnaendelea poa na majukum. Niende moja kwa moja kwa kwa yale yanayonisibu.
Wakuu mi nimeoa takriban mwaka wa 7 sasa plus miaka ya uchumba na mahusiano it's almost miaka kumi nipo na ndoa yangu.
Sasa mwaka juzi nilihamia mkoani kwa uhamisho wa kikazi na kuhamia mkoa X . Huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.