Recent content by Lazmas

  1. L

    Kesi ya Mbowe: Haki Haikuonekana Kutendeka

    Jibu hoja, panya buku!
  2. L

    Kutoka Mahakamani: Freeman Mbowe na wenzake watatu wamekana mashtaka yao sita yanayowakabili

    Kushtakiwa kwa kosa ndio kunamfanya mshtakiwa awe mkosaji? We kanye tu ulale, hakuna ulijualo.
  3. L

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Asante sana mkuu. Kwa kweli mi nilinunua hii komputa bila kujua chochote. Je ninaweza kubadilisha processor, let's say i3 au 85 ili iwe na kasi kidogo? Mi matumizi yangu sio makubwa sana, unanisharije?
  4. L

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    Asante sana Chief. Vipi kuhusu Intel (R) Celeron (R) CPU N2830 @2.16GHz 2.16GHz
  5. L

    Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

    Hili neno "Mzalendo" siku hizi lina maana tofauti; mzalendo kwa wana CCM ni mfia watawala, sio mfia nchi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. L

    Msaada Jamani

    Itakuwa na vielelezo gani vitakvyofanya nijue kuwa ilikuwa ni locked?
  7. L

    Msaada Jamani

    Cha ajabu kwenye simu nyingine inafanya kazi fresh kabisa wala haihitaji kuzimwa na kuwashwa,na pia nikiweka simcard nyingine kwenye hii simu inapiga kazi fresh bila kuhitaji kuzimwa na kuwashwa. Yaani tatizo lipo ninapoweka Halotel simcard kwenye hii j7
  8. L

    Msaada Jamani

    Naombeni msaada jamani. Tatizo hili ni kwa simcard ya Halotel tu. Nimeshajaribu ku format simu lakini wapi, nilienda hadi Halotel Mlimani City na makao makuu ila nao ni kama hawajui tatizo hili linasababishwa na nini.
  9. L

    Msaada Jamani

    Simu yangu ya Samsung galaxy J7 ina tatizo la kupoteza memory ya sim card; na hii ni kwa sim card ya Halotel tu. Nimeweka picha hapo chini
  10. L

    Niuzie pikipiki(Tvs 150cc)

    0767414458 Ukinipigia ukanikosa Nitumie tu msg, huku nilipo kuna shida ya network.
  11. L

    Niuzie pikipiki(Tvs 150cc)

    0767414458 Ukinipigia ukanikosa Nitumie tu msg, huku nilipo kuna shida ya network.
  12. L

    Niuzie pikipiki(Tvs 150cc)

    Wadau natafuta pikipiki used aina ya Tvs, cc150 au 125, ila napenda zaidi 150cc. Iwe kwenye hali nzuri sana na iwe haijawahi kufunguliwa engine.
  13. L

    Nililishwa chakula chenye sumu safarini, nilisafiri kwa mateso na kufika kwa mbinde sana

    [Bila shaka ulikula hoteli ya Liverpool, Mombo. Wasafiri wengi hawapendi hiyo hoteli coz wanauza sana viporo. Nimeshawahi kuwa victim wa food poisoning, hasa baada ya kula Liverpool. Nowadays basi likisimama hapo huwa sihangaiki kula chochote hapo. wasalaam! wanajamii wenzangu siku za hivi...
  14. L

    Soda ni Sumu; Je, TFDA wanafanya nini?

    Tuwekee scientific facts, acha kuongozwa na hisia na empty rhetorics.
Back
Top Bottom