Recent content by lazima ukae

  1. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake na tabia ya kutusogezea makalio kwenye usafiri wa umma

    Zamani nilijua wanaume ndio tunajisogeza na kusimama nyuma ya wanawake ili tu kugusa makalio yao na sehemu zetu za siri na kuna wanaume ambao walikuwa wanamaliza kabisa haja zao palepale wakati amesimama nyuma ya mwanamke. Siku hizi mambo yamekuwa vice versa ambapo mfano kwenye mabasi ya...
  2. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Alinivumilia wakati sina kazi lakini tukaacha nilipokaribia kupata kazi, nimepata mwingine sasa haachi kunisumbua turudiane

    Hili suala sio kwa mwanamke wako tu, wanawake wengi sana huwaga wanavumilia siku chache za mwanzoni kama huna ajira ila baada ya hapo anaanza kukuonyesha red flags.Huyo mwanamke hakufai mana yupo kimaslahi zaidi na siku ukipoteza hiyo kazi ataondoka tena.Ingekua wewe ndo mimi ningemtumia tu huyo...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kauli ya 'Kata simu kwanza kuna mtu ananipigia' huwa unaichukuliaje?

    Kibusara hutakiwi kumuambia mtu hivyo mana ni kama umemdharau, unaweza kumuambia subiri kdg nakupigia.
  4. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wameolewa ila hawawapendi waume zao kutoka moyoni

    Njaa ndio zinawafanya waolewe
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anayehitaji attention yako akiona humpi anaumia?

    Nakubaliana na wewe
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anayehitaji attention yako akiona humpi anaumia?

    Upo sahihi
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini mtu anayehitaji attention yako akiona humpi anaumia?

    Kumekua na kawaida kwa watu wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi kuleteana visa vya hapa na pale especially mmoja anapogundua kwamba mwenzake anampenda sana. Mwanamke au mwanaume anapogundua anapendwa sana na mwenzake basi ataanza kumfanyia visa kama vile kutojibu sms zake kwa wakati...
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Boss kaoa

    Karma is real
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Boss kaoa

    Mimi nina mke watoto wako shule, we endelea kusubiri kujirahisisha kwa mabosi huku umri unaenda ukiamini watakuoa mwishowe wanaishia kukuchezea na kuoa wengine.... Jiulize kwanini bosi kaenda kuoa mwanamke mwingine na sio wewe, hapo ni kwamba kaona wewe ni malata na hufai kuitwa mke.Wewe ni...
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye Boss kaoa

    Usikute Karma imeanza kufanya kazi kwako mana huenda nawe kuna mchizi ulimzingua sababu ya huyo bosi wako.
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    We chizi kweli wewe, aliekudanganya nimekuja kutafuta huruma nani ? We kweli unaliwa na mafisi
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    Tena watu kama nyinyi mnaonyanyua nyanyua mdomo ndo mnachapiwa kwelikweli.
  13. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    Basi kama kama huna mke huwezi jua haya mambo ya watu wazima, baki na utoto wako.Au mwenzetu kipa katoka ?
  14. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifanye kidume lakini tambua kwamba ofisini kwa mkeo lazima kuna mwanaume anatoka nae kimapenzi

    Kwakua imekugusa uongo 😂😂😂😂
Back
Top Bottom