Recent content by LAZIMA NISEME

  1. LAZIMA NISEME

    Kwanini Joseph Oleshangay anadhaniwa kuwa ni an Enemy of the People?

    Serikali msipomdhibiti JOSEPH OLESHANGAY mapema basi mjue anakwenda kutengeneza kundi hatari la UASI kwa Jamii ya Wamasai hapa nchini. Naomba niwatahadharishe Rais Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN na Serikali yako kuwa makini sana na kijana niliyemtaja hapo juu. Siku za hivi karibuni Wakili huyu...
  2. LAZIMA NISEME

    Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shanghai anadaiwa kujiapisha kuwa Laigwanan wa jamii ya kimaasai

    Mbunge wa Ngorongoro Mhe. Emmanuel Ole Shanghai anadaiwa kujiapisha mwenyewe kuwa Laigwanan, Uapisho uliohudhuriwa na watu takribani ishirini wa familia yake katika sherehe ndogo iliyofanyika nyumbani kwake katika kijiji cha Enduleni kata ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro. Baadhi ya viongozi...
  3. LAZIMA NISEME

    Uleigwanan wa Lowassa wadaiwa kugombaniwa na wawili wa familia moja ya Ole Shangai

    Tazama hii Video chini Utaratibu umeelezwa https://www.youtube.com/watch?v=Bx2TDkYrLUc
  4. LAZIMA NISEME

    Uleigwanan wa Lowassa wadaiwa kugombaniwa na wawili wa familia moja ya Ole Shangai

    Ni Emmanuel Ole Shangai na Joseph Ole Shangai. Wamasai wamkataa Mbunge wa Ngorongoro Emmanuel Ole Shangai kutaka kujiapisha kuwa Leigwanan. Bonyeza link chini kusikiliza SAUTI ZA WAMAASAI WAKIPINGA EMMENUEL OLE SHANGAI KUJIAPISHA ULEIGWANAN https://www.youtube.com/watch?v=Bx2TDkYrLUc Na...
  5. LAZIMA NISEME

    Bajeti ya Maandamano Arusha kuijenga au kuipasua CHADEMA?

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida wakati wa kikao cha Tathmini cha maandalizi ya maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilichofanyika tarehe 21 February 2024 Jijini Arusha, ugomvi mkubwa uliibuka kati ya aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema na wajumbe wa kamati...
  6. LAZIMA NISEME

    Kwanini viongozi wastaafu zanzibar wamesusia sherehe za miaka 60 ya mapinduzi Zanzibar?

    Mapinduzi ya Zanzibar yalitokea mnamo tarehe 12 hadi 14 Januari 1964, na yalikuwa harakati za kisiasa zilizosababisha kubadilika kwa utawala na kuanzishwa kwa Jamhuri ya Watu wa Zanzibar. Mapinduzi hayo yalikuwa na muktadha wa kisiasa na kijamii ambapo kulikuwa na mivutano kati ya Waarabu na...
  7. LAZIMA NISEME

    MAJIBU UCHUNGUZI: Kukamatwa kwa Tumokinoi Mollel Samaito (Adv.Francis Samaito) na kuwekwa mahabusu kwa kosa la uvunjifu wa amani Longido. Akaangwa

    TUMOKINOI MOLLEL SAMAITO (Francis Samaiko - PICHANI) aliwekwa mahabusu kwa kosa la uvunjifu wa amani kwa mujibu wa sheria mnamo tarehe 30/11/2023. madini ya rubi Hakuna mgogoro wowote kati ya mmiliki wa leseni (kijiji cha les mundarara) na mwekezaji huyo (northern crystal ruby limited)...
  8. LAZIMA NISEME

    MAKALA: Kuanguka kwa chama cha siasa kunaweza kuonyeshwa kwa hatua kadhaa

    Na Daniel Mbowe (Kilimanjaro) Hapa kuna baadhi ya viashiria vya kawaida vinavyoweza kupelekea kuanguka kwa chama cha siasa: Utendaji wa Uchaguzi: Matokeo duni katika chaguzi, ikiwa ni pamoja na hasara katika kinyang'anyiro muhimu na kupungua kwa kura, inaweza kuwa ishara tosha ya kuzorota kwa...
  9. LAZIMA NISEME

    Rais Samia: Hatukutoa fursa ya Mikutano ya hadhara watu wakavunje sheria, wasimame kutukana, kukashifu na kuchambua dini za wengine

    1. Utangulizi: Mh. Mwenyekiti na Wajumbe, Kama wengi wetu tunavyojua Kikosi Kazi cha Mh. Rais kiliundwa tarehe 23 Desemba 2021, kikiwa na wajumbe ishirini na nne (24). Kikosi Kazi kiliwasilisha mapendekezo yake kwa Mh. Rais tarehe Oktoba 21, 2022. Kikosi kazi kilipitia hadidu za rejea...
  10. LAZIMA NISEME

    Kenya kuondoa Visa kwa wageni inaweza kuwa na athari gani kwa usalama wa majirani zake?

    Je, Kenya imeweza kutambua kwamba suala hili linaweza kuwa na matokeo tofauti kulingana na walafi wa rasilimali za Afrika na jinsi sera hiyo inavyotekelezwa na serikali inavyoshughulikia masuala ya usalama wa mipaka? Je, Kenya imejiridhisha juu ya Kuingia kwa watu wanaotaka kufanya...
  11. LAZIMA NISEME

    Kwanini Baraza la Mawaziri halichukui hatua hizi juu ya mkataba wa bandari wakati waliujadili na kuupitisha kabla hata ya Bunge?

    Kwa ufupi Baraza la Mawaziri ni chombo cha serikali kinachosaidia Rais katika kutekeleza majukumu na kufanya maamuzi ya kitaifa. Jukumu la Baraza la Mawaziri linahusisha mambo mengi, ikiwa ni pamoja na kujadili na kufanya maamuzi kuhusu masuala muhimu ya serikali, mipango ya kitaifa, sera, na...
  12. LAZIMA NISEME

    Kwanini madaraka ya rais yanalalamikiwa sana na nini kifanyike kwenye katiba ijayo?

    KWANINI MADARAKA YA RAIS YANALALAMIKIWA SANA NA NINI KIFANYIKE KWENYE KATIBA IJAYO? MJADALA KATIKA FORUM YA KATIBA YA WATU
  13. LAZIMA NISEME

    Sheria kadhaa za vyama vya siasa nchini Tanzania zitafanyiwa marekebisho katika mchakato wa kuanzisha Katiba mpya, kwani zimekuwa zikikosolewa na wada

    Sheria kadhaa za vyama vya siasa nchini Tanzania zitafanyiwa marekebisho katika mchakato wa kuanzisha Katiba mpya, kwani zimekuwa zikikosolewa na wadau mbalimbali kwa muda mrefu kwa kutokuwa na uwiano, na kuzuia ushindani wa haki kwenye siasa. Sheria hizi ni zipi?
Back
Top Bottom