Ni Nikon D5300 (Used) ambayo utapewa ikiwa na lens 2
Lens ya 18-55mm pamoja na Lens ya 50mm MANUAL PRIME LENS
Lakini pia utepewa na STAND nzuri BURE kabisa ambayo Dukani huuzwa kwa 150,000/=
Upande wa Battery haikai na chaji sana lakini unaweza ibadilisha.
Nitakupa pia na chaji ya BATTERY...
Ikiwa unahitaji Camera tofauti na hii unaweza wasiliana nami;
Kuna Nikon D5300 na ina lens 2 pamoja na stand camera na lens hazina shida yoyote lakini battery haikai na chaji sana.
Hii camera unaweza piga picha nzuri sana lakini pia kwa uchukuaji wa video upo vizuri.
Vyote vinauzwa kwa...
Nakumbuka mwaka 2014 wakati nafanya biashara ya mtandao na kampuni moja kubwa tuu nilikuwa napata shida sana ya kuweza kuongea na wateja niliokuwa nawapata kupitia simu yangu.
Unakuta unapata wateja lakini hakuna mwongozo wa namna ya kuweza kuongea naye kufunga mahesabu.
Lakini pia kilichokuwa...
Umeshawahi kukutana na mteja alafu haujui utaongea naye nini ili uuze kwa wepesi bidhaa yako?
Au umekutana na mteja alafu ukaongea naye kuhusiana na bidhaa yako lakini mwisho wa siku anakwamba “SINA HELA KWA SASAHIVI...” au anakwambia “NITAKUPA JIBU....” au “NAOMBA WIKI NITAKUWA TAYARI...” ...
Na wewe huwa unajiuliza swali hili au huwa unaogopa kujiuliza kwasababu unahofia kuona makosa yako?
Ukweli ni kwamba wengi swali hili kulifanyia kazi huwa hatutaki kwasababu tunaona tutajiumiza kwa ukweli ambao tutaujua kupitia matangazo ambayo huwa tunayafanya.
Kuna njia nyingi sana za kujua...
Matangazo unaweza kuyaelekeza yaonekane wapi na kwa watu gani kwenye mtandao wa instagram,hapa unaweza chagua maeneo ya tangazo lako kuonekana mfano Dar,Mwanza,Dodoma n.k na uka-specify watu wa aina gani ambao unawahitaji katika hayo maeneo.
Kutumia watu maarufu huwa tunaita Influencer...
Matangazo ya facebook kwa siku kiwango cha chini kabisaa tagazo lako kuwa hewani ni $1 ambayo ni sawa na 2318.83 japo unaweza ongeza bajeti yako zaidi kusudi uweze kufikia watu wengi zaidi.
Tangazo lako kuwa hewani itategemeana na bajeti yako ilivyo lakini atleast kuanzia siku 5 tangazo likiwa...
[emoji433]Author- Coach Lazaro Samwel
Kuna watu mpaka sasahivi hawajui umuhimu wa facebook,instagram,whatsapp n.k kwasababu bado wanajua hii mitandao ya kijamii ni upotezaji wa muda.
Kuna mtu anajua mitandao ya kijamii ni kwaajili ya kuonesha maisha yake tuu na kufuatilia maisha ya watu...
Bakery (Unatengeneza Keki, Mikate, Bites n.k)
Network Marketing (Biashara Ya Mtandao) mf; EDMARK, NEOLIFE, BF SUMA, AIM GLOBAL, SUPER-LIFE n.k.
Graphics Designing
Au biashara yoyote inayohitaji mitandao ya kijamii.
Na unapata wakati mgumu wa namna ya kupata wateja wa kutosha kwenye biashara...
Soma kwa umakini DOCUMENT hii.
Kama utakuwa makini na kuna biashara ambazo unazifanya basi inaweza kuwa mwanzo wa kuepuka kuendelea kupoteza fedha zako kujifunza vitu ambavyo havina msaada kwenye biashara yako na kwako mwenyewe binafsi.
Document [emoji1484][emoji1484][emoji1484]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.