Kote kuna faida na hasara...
Shule za govt kwa sasa usimamizi wa wanafuzi ni mdogo kutokana na hali ya mishahara pamoja na madaraja ya walimu.
Shule binafsi zinaushindani, kufaulisha ndy chaguo lao la kwanza. Ila huku Binafsi watoto wanakosa michezo mingi kutokana na kuwa wameBase sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.