Recent content by laws

  1. L

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Izttzz
  2. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi Eric Shigongo alivyojiunga Chuo Kikuu akiwa na elimu ya msingi

    Inawezekana tu kwa masomo ya PENGUIN.Kwenye ENGINEERING !!!!!Thubutu!!!!!!
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini iwe Nigeria kila Kitu? Why Is It Nigeria. Wamewezaje?

    Ghana na Nigeria siyo majirani
  4. L

    JamiiForums Tanzania Ilikuaje China wakubali kupewa uhuru wa masharti na Britain mwaka 1997 kuhusu Hong Kong?

    HONGERA JPM KWA KUIKOMBOA BAGAMOYO VINGINEVYO BAGAMOYO INGEGEUKA KUWA CHINA NDOGO.Wakati wa kuirudisha (Baada ya miaka 99).Mambo yanayotokea HongKong yangejirudia kwa Bagamoyo.
  5. L

    JamiiForums Tanzania African-Americans ni wabaguzi kuliko wazungu, waliporudishwa Afrika waliwauza wenzao kama watumwa

    Hii hali ya kunyanyapaa watu ni ya asili.(Sipendi kutumia neno kubagua kwani kubagua ni neno zito zaidi) Wanaasili wa Dar wanawanyanyapaa wa mikoani na kuwaita wakuja.Hivyohivyo wakutoka mikoani wanawanyanyapaa na kuwadharau wanaasili wa Dar kuwa ni wavivu. Walemavu wa aina yoyote...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima Atoa Kali, Aomba Kibali Serikalini Kuponya Wagonjwa wa Corona Mahospitalini, kwa Kutumia Miujiza ya Nguvu za Mungu!

    Kazi ya serikali ni kuwalinda raia wake.Hivyo kama inaona kuwa atadhurika Serikali haitatoa kibali.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Maji katika ziwa Victoria lavunja rekodi ya Miaka 50

    Level ya maji ya ziwa victoria ni 1,100 meters above sea level
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Lushoto, Shabani Shekilindi adai kugundua dawa inayotibu ugonjwa wa Corona

    Je side effects za dawa hiyo amezifanyia utafiti?Isije ikawa inaponya Corona lakini mwisho wa siku 11 unaanza kupata saratani.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Corona Afrika

    Corona ni neno la kilatini linalomaanisha taji la mfalme(crown).Virusi hivi vimejivisha taji linalofanana na taji la mfalme.corona virus=virusi vilivyojivisha taji la kifalme
  10. L

    JamiiForums Tanzania Bahati yetu ni Jua, Unyevunyevu (humidity) na Joto - Corona hatambi

    Rudia ‘geography’ yako vizuri.South Africa ipo kwenye Tropic ya Capricorn na siyo cancer
  11. L

    JamiiForums Tanzania Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Mara nyingi tunachanganya kati ya kumwamini Mungu na kuamini dini.Dini si sawa na Mungu.Mungu hayuko kimaslahi kama zilivyo dini.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu coronavirus kuua zaidi Ulaya na Marekani

    Je unasemaje kuhusu Iran
  13. L

    JamiiForums Tanzania Tv za Panasonic ubora wake

    Nilinunua Panasonic viera,flat screen 32”ya Malasia mwaka 2006 hadi leo ni mwendo mdundo.Haijawai kugoma na kwa kutumia flash the app inacheza video format nyingi including MP4
  14. L

    JamiiForums Tanzania Corona: Msikiti Ngazija uliopo Posta jijini Dar es Salaam wafungwa kwa siku 21 kuepusha misongamano ya waumini

    Mungu yupo,lakini kwa vile hizi dini ni mali ya binadamu na si za Mungu,viongozi wake wameshindwa kuwasiliana na Mwenyezi Mungu.Tangu zamani Mungu alikuwa anawasiliana na watu binafsi(mitume na manabii) ambao hawakuwa viongozi wa dini yoyote.Mohamed hakuwa na dini yoyote ya wakati huo, lakini...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Corona imekuja kuumbua uongo wa dini

    Wasioamini,kuwa Mungu yupo,watakapokufa watasamehewa kama Yesu alivyomsamehe Thomas
Back
Top Bottom