Recent content by Lawkeys

  1. Lawkeys

    Plot4Sale Nauza Kiwanja Chenye Hati 1602MSQ Goba

    Details: Title No. 156855 Size: 1602 MSQ Location: Goba, Kunguru, Near Precious School Accessibility: Approx 200metres from Goba/Makongo road & Approx 1 Km from Masana-Goba Road (Barabara ya Lami) Price: 66M, attractive payment terms Mawasiliano: 0714019605
  2. Lawkeys

    Plot4Sale  Nauza Shamba la Pines - 50 Acres - Mafinga

    Shamba la miti aina ya Pines, yenye umri wa mwaka mmoja, lipo Mapanda, Mafinga linauzwa. Bei 36.5m - mazungumzo yapo. Mawasiliano - 0714019605
  3. Lawkeys

    Wa mwisho ndiyo mshindi

    Inatosha sasa Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. Lawkeys

    INAUZWA Marine Boards

    Ninauza Marine Boards, zimetumika mara moja. Zipo Goba, Dar es Salaam.
  5. Lawkeys

    Kutoka Bungeni Sept 7, 2016: Chenge aionya Serikali kuhusu mazao, Nchemba amjibu Mbowe deni la Taifa

    Kuna uwezekano mkubwa sana kwamba uko sawa lakini hauko sawasawa. Ingekuwa ni biashara ya mtu, basi ingekuwa karibu bank wanapiga mnada dhamana yako. Kama tunakopa kwaajili ya shughuli za maendeleo, basi tungeona hizo shughuli zikizalisha pesa kwaajili angalau ya kulipa deni tu. Sasa deni...
  6. Lawkeys

    Kutoka Bungeni Sept 7, 2016: Chenge aionya Serikali kuhusu mazao, Nchemba amjibu Mbowe deni la Taifa

    Kulima nilime mimi, kupanda nipande mimi, kupalilia napalilie mimi, kuvuna nivune mimi, kupeleka ghalani nipeleke mimi. Alafu baada ya kufika ghalani useme chakula chetu??? Huu ni unyonyaji. Serikali makini inawasaidia wananchi wake kupata ziada na sio kuzuio kidogo kilichopatikana kwa kuvunja...
  7. Lawkeys

    Wakenya hawajui Magufuli naona!

    Dawa hapa ni Waziri Mwenye dhamana kulifungia hilo gazeti pia.... wamezidi.
  8. Lawkeys

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Pombe hafai kuwa raisi na ccm haifai kuchukua dola. Ccm ni janga, na sisi tuana haki ya kumkataaa Pombe na tutafanya hivyo tareahe 25
  9. Lawkeys

    Program Note: Operesheni Funguka... Oktoba 5. Mabadiliko Hayabinafsishwi!

    Nitampigia kura yangu Lowassa, CCM siitaki wangemuweka nyerere leo akiwa na miaka 45 simchagui.
  10. Lawkeys

    Kipaumbele cha pushapu

    Hivi mazoezi ndio yanaleta mapinduzi ya viwanda. Kikwete ameshadadia bongo flavor, na kwasababu hiyo waimbaji wamepata tuzo za kimataifa. Lakini nioneshe picha 1 ya engineer Hilonga http://www.bbc.com/news/world-africa-32973591 aliyegundua mtambo wa kuchuja maji akipata mualiko wa ikulu. Au...
  11. Lawkeys

    Watu wa Mbeya mtabadilika lini?

    Nguvu ya umma. Sisi na umma nyie na policcm.
Back
Top Bottom