Kwa watumiaji wa king'amuzi cha Startimes waliopo mkoa wa Dar es Salaam watakuwa wameiona channel mpya ya TABIBU TV ambayo ipo kwenye majaribio, jamaa wanaonyesha muvi kali na series za ukweli, bado haijajulikana mmiliki wa Tabibu Tv ni nani, wengine wanadai inamilikiwa na Dr Mwaka, lakini...