Wanasema kutafuta support kwa wasioelewa nn maana ya jihad,jihad unapiga iwapo utawala uliyokuwepo unawazuia kuabudu dini yenu ndio mnatakiwa kupambana muwe na haki ya kuabudu mnachokiamini sasa wale bokoharam eti nao wanapigana jihad ukiuliza hawataki elimu ya magharib sasa hyo siyo jihad hila...
Sio kila vita anayopigana muislam ni jihad hizo nyingine watu wanapigana kwa maslahi yao ya duniani wala haihusiani na dini,hila watu kwa ukosefu wa elimu mkiona mtu kashika bunduki kavaa kilemba ishakuwa jihad.
USA huwa hanaga huruma na raia ambao sio wa nchi yake ile kusema aliacha kushambulia Iran sababu angeua raia wengi niuongo tu alipima maji kaona kina kirfu kageuza,USA ataua hata watu 30 sababu kuna mmoja anamtafuta.
Mnapenda kujitoa ufahamu inamaana hujui kama vikwazo vya USA Kwa Iran ni ushawishi wa Israel sababu yy hana cha kumfanya Iran msaada wake ni vikwazo vya USA kuzuia maendeleo ya Iran.
Kwani anaye hangaika na mwenzie nani yeye Israel anamakombora hadi ya nuclear lakini akisikia wenzake wanafanya hata majaribio ya silaha anakimbilia kwa mume wake USA kulialia maana uwezo yy binafsi kupambana hana bila support.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.