Recent content by laurentie

  1. laurentie

    Kwa mahitaji ya ujenzi wa swimming pool usisite kututafuta

    Lpf builders tumebobra kwa ujenzi wa swimming pool kwa matumizi ya hotel na nyumbani karibu tukuhudumie 07112206032 0782719980
  2. laurentie

    Sales and Marketing Officer (Female)

    Sales and Marketing Officer (Female) - Digital Marketing Specialist for Travel and Tour Web Solutions Company: TIMELESS INTERNATIONAL Location: ARUSHA Type: Full-Time Overview: We specialize in offering web solutions and digital marketing services tailored for the travel and tour industry...
  3. laurentie

    Car4Sale Toyota Vista Aldeo namba b inauzwa mil 4.5

    Habari nauza gari mil4.5 Aina ya gari ni toyota vista model 2002 Engine capacity 1990 Engine type 3s Ulaji wa mafita ni mzuri mjini ni 10km /l Ukiwa safari ni 12 km /l Mawasiliano 0712206032 /0746366564 Gari ipo arusha
  4. laurentie

    Anahitajika mdada kwaajili ya kuuza Bulding Materials Dodoma

    Anahitajika msichana mwenye uzoefu na uuzaji vifaa vya ujenzi awe mkazi wa Dodoma. Sifa Awe anajua kusoma na kuandika Awe na uzoefu kwenye mauzo ya vifaa vya ujenzi Mawasiliano :0712206032 NB: Miezi miwili ya mwanzo ni kamisheni. Baada ya hapo mshahara utakuwa 500,000 kwa mwezi. Send email to...
  5. laurentie

    Nanunua mahindi kuanzia tani 30 nahitaji tani 300 nipo Arusha

    Nahitaji mahindi yawe yamekauka vizuri bei 920 nipo Arusha malipo cash kuanzia tani 30 Mawasiliano 0712206032
  6. laurentie

    Car4Sale Gari inauzwa GDI hiyo Ina injini ya 3S bei 4.5 M

    Habari wadau wa magari nauza gari yangu mistubishi GDI ina engine ya noah 3s. Gari ipo safi safari popote inakula 1ltr per 12 km high way mjini inakula 1ltr per 10km Test drive onaruhusiwa Gari ipo Arusha mawasiliano 0782719980 or 0712206032
  7. laurentie

    Plot4Sale Viwanja vya Makazi Kisongo Matevez

    Viwanja vya makazi ,vimepimwa vinauzwa kisongo ,matevez ,Arusha Ukubwa ni kuanzia 20m× 20m kwa mil 6.5 10m× 10m kwa mil 1.5 .huduma muhim zote zipo umeme upo kwenye mradi tayari upo kwenye viwanja maji yapo ni sehem yakhjenga sio kusubiri .karibuni Mawasiliano 0712206032 0782719980
  8. laurentie

    Plot4Sale Viwanja vinauzwa Kisongo/ Matevez

    Viwanja vimepimwa na mradi wa kurasimisha ardhi eneo la viwanja lipo kisongo matevez -Arusha Ukubwa wa viwanja unaanzia 20×20 na 20×27 na kuenedelea kulingana na mahitaji ya mteja .BIE YA OFA NI MIL 6. Tunapokea malipo ya awamu. Eneo lina maji na umeme upo kwenye viwanja ni eneo ambalo tayari...
  9. laurentie

    ANAHITAJIKA MTU ALIEMALIZA CIVIL ENGINEERING

    Habari wadau anahitajika mtu alaiyemaliza civil engineering Haijalishi uzoefu awe mkazi wa arusha Mawasiliano 0622115570 or 0712206032
  10. laurentie

    INAUZWA Friji inauzwa aina Sharp LT 220 bei 380k Arusha

    Nauza friji aina ya sharp non frost haigandishi mabarafu inagandisha vitu ulivyoweka rtu inapoza kwa haraka bei l380k mwasiliano 0622115570 IPO ARUSHA 0712206032
  11. laurentie

    Nauza gari yakufanyia biashara kirukuu

    Nauza gari mistubishi kirukuu mil 4.5 ipo Arusha mawasiliano 0622115570 0712206032.
  12. laurentie

    Nauza gari yakufanyia biashara kirukuu

    Nauza gari yakufanyia biashara kirukuu mistubishi ,kinafaa kwakusambazia bidhaa au kubebe bidhaa za ufugaji kama mayai ,nyama kuku nk. Bei ni 4mil Mawasiliano .0622115570 au 0782719980 Kipo arusha mjini
  13. laurentie

    Jinsi Project ya Mbingu mpya na Nchi mpya itakavyotengenezwa na itakavyofanikiwa

    Katika hali ya kawaida huwezi print chakula hasa kilichopikwa hata kibichi kinachofanyika ni kutengeneza vyakula vibichi maabara as gmo (genetic modified organism) ambavyo vinaandaliwa maabara sio kulimwa mfano cabage zipo hata mayai So hiyo hoja ya kuprint 3d chakula hapa ni uongo jiongeze...
  14. laurentie

    Mjue jasusi Paul Kagame - Sehemu ya Pili

    Chakujifunza ni vijana kujitambua kuwa hatma ya nchi yetu ipo mikononi mwetu
  15. laurentie

    Natafuta partner kwenye machimbo (Lugoba)

    Bank hawatoi hela ya mkataba boss mm nimfanya biashar a wa muda mrefu tu hii ofa ina expire nikipata pesa hii fursa basi
Back
Top Bottom