Recent content by laudate

  1. L

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kilisababisha vurugu za Mwembechai mwaka 1998?

    Tatizo hamtafuti root cause ya zile furugu zaidi napata hisia za kiluona udini kwakila anaechangia hii thread .Kuna issue ya watu kuvamia bucha za nguruwe za wafanya biashara kwakuwa tu nitofauti na imani yao.Mzee ruksa alitoa tamko kupitia haya Fulani za Qur'an kila MTU na ale akipendacho. Pia...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, hakuna dawa ya kudumu ya jino bovu! Usiku wa leo nusura nilale uvunguni

    Muhimbili wako school of dentistry nenda kitengo kinaitwa restorative department utapata msaada mkuu usingoe jino na usisubiri likuume sana
  3. L

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, hakuna dawa ya kudumu ya jino bovu! Usiku wa leo nusura nilale uvunguni

    Ulishawahi kujiuliza ktk njia za kutolea mkojo hasa kwa wanawake kuna bakteria wa aina gani? Itokee sasa mkojo una UTI then unaweka mdomoni....
  4. L

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, hakuna dawa ya kudumu ya jino bovu! Usiku wa leo nusura nilale uvunguni

    Afadhali kutibiwa na dental therapist meno kuliko clinical assistant kama huna uwezo wa kumuona specialist .Ushauri wa bure huu kwa faida yako
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, hakuna dawa ya kudumu ya jino bovu! Usiku wa leo nusura nilale uvunguni

    Daktari wangu wa meno anashauri tusitumie mouthwash kiholela kwani zinaua bacteria muhimu mdomoni .Tutumie hizi dawa kama kunatatizo mfano fizi kuvimba au kutoa damu siyo vinginevyo au kumuona Daktari kwa uchunguzi zaidi
  6. L

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane, hakuna dawa ya kudumu ya jino bovu! Usiku wa leo nusura nilale uvunguni

    Dawa ya jino siyo kung'oa bali ni kuliziba kwani faida ya kuziba ni ;jino litumike kwamaana ya kutafunia au kuweka muonekano mzuri yaani good appearance pia kuzui lisije kuuma baadae.Siyo kila jino lenye tundu linafaa kuziba kwani lina hatua zake ,kama ugonjwa yaani infection imekaribia kwenye...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kwenye Kanisa Katoliki kuhusu Miracle Hunter?

    Katika amri ya ya nane ya Mwenyezi Mungu imekataza kusema uongo na kumshuhudia mwenzako uongo, angalia ukichokiandika madhara yake kwako kiroho, fikiria mara mbili umepotosha watu wangapi humu jamvini. Mashaka yangu utakuwa wewe ni atheist
  8. L

    JamiiForums Tanzania Ally Hapi, Anguko lako kisiasa umelitengeneza mwenyewe!

    Mtaka is the best RC kwanza anapenda watumishi wa umma na yuko tayari kujifunza
  9. L

    JamiiForums Tanzania Musiba asiivuruge CCM, ni aibu Shirika la Umma (ATCL) kufadhili Gazeti lake

    Tujifunze Rwanda waandishi ndiyo walikuwa chanzo cha matatizo yote. Mola wetu mwema atuepushe na watu wenye roho na uchu wa madaraka na Ubinafsi, kwenye vurugu watakao umia zaidi ni watoto wasio na hatia, wanawake navikongwe. Waandishi angalieni kalamu zenu kumbukeni watoto wenu, wazazi wenu, na...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sauti za Mapadri kuendesha ibada zina fanana?

    Bilashaka wewe utakuwa msabato, ulishawahi kufuatilia kujua mwanzilishi wa sabato alikuwa ni Freemason? Kufuatilia vizuri upate ukweli then utajua kama hapo ulipo ni mahali salama. Hakuna kitu kibaya kama kutoa uzushi kwakitu ambacho huna details zake,
  11. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sauti za Mapadri kuendesha ibada zina fanana?

    Sidhani kasisi wa kikatoliki akiimba ni dhambi hata nabii Daudi alikuwa akimwimbia Mola wake kwa Jimbo za tenzi za zaburi zikiambatana na kinanda / kinubi.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Waziri Lugola; Mambo ya Ndani ni zaidi ya kutembea na sera na mashati ya bendera

    Mheshimiwa anazo sababu za msingi anaposema nchi iko salama yeye anavigezo vya kusema hivyo tena vya kitaalam. La kwa kumsadia huyu mheshimiwa wetu ili afanye kazi kwa wepesi zaidi ni kujiepusha na itikadi za wazi wazi za kisiasa japo yeye ni mwanasiasa pia. Aina ya wizara anayofanyia kazi...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini sauti za Mapadri kuendesha ibada zina fanana?

    Siyo tune hiyo pekee, zipo tune nyingi zinazotumiwa na waendesha ibada hasa wakatoliki kama mapadre na maaskofu, hizo tune hasili yake ni kilatini hivyo makasisi wote ulimwenguni wa madhehebu ya kikatoliki hutumia hiyo tune/ melodia kwa kutumia lugha zao mama mfano kingereza, kiitaliano n.k...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Malipo ya tiba hospitali za Serikali

    Ukienda hospttali utaliapia gharama za matibabu mfano dawa na procedures mbalimbali ikiwamo na operation na vipimo mbalimbali .Mfano kama hukuitajika kufanyiwa vipimo ,procedure yoyote au kupewa dawa Ila daktari alikupa ushauri wa kitaalam kama ndiyo tiba yako yaani consultation je hupasi...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Serikali imeongeza Deni la ndani kwa TZS 1.5T kati ya Mwezi Mei na Juni 2018: Ni ‘overdraft’ ya BoT kwa Serikali? BoT imechapisha Noti mpya?

    Ningependa kufahamu thamani ya Mali za serikali ni kiasi gani na pia Mali hizo zina reflect vipi ktk deni letu la ndani .
Back
Top Bottom