Yaan nyie mnaongea as if hamuishi tz vile hivi hamjui enzi hz co enzi leo, sasa hv nan anayehangaika na wewe kukutafutia scholarship, serikali ina huo muda? Haya mnasema eti angebaki chuo kufundisha mnadhan kila mtu anawito wa kufundisha? Kuna mtu humu alishapost kuwa ana degree, masters na PhD...