Recent content by Latrice

 1. Latrice

  Ona jinsi Israel ilivyoichafua na kuibana mbavu Palestina

  Unaamini Israelites doesn't belong there?
 2. Latrice

  Dada poa watampa Ruto bure

  Hahahahaha
 3. Latrice

  Mbezi, Dar: Wanafunzi Mbezi Primary School hawana madawati

  Huyo jamaa huwa anajiona ni GT sana kumbe mpuuzi fulani tu anayepaswa kupuuzwa.
 4. Latrice

  Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora yaungua moto

  Sileti udini, kinachonishangaza ni ujinga wa hali ya juu ambao watu wengi wako nao. Mtu na madevu yake mwingine na maziwa yake kilo tatu anashupaza kichwa kabisa akiuliza swali "Kwanini za kiislamu tu?" WTF ulitaka na za Kikristo ziungue ama za Serikali? kwanini usiulize kwanini hili tatizo la...
 5. Latrice

  Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora yaungua moto

  Sasa huku umeingia kwenye field yangu usitake nikuingize darasani tafadhali jikite tu kwenye kuhisihisi chanzo cha hiyo mioto.
 6. Latrice

  Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora yaungua moto

  Unavyohisi nani kayapanga? Ni jambo la kawaida kabisa kwa sababu yanatokea maeneo tofauti tofauti. Shule ya Kikristo ya Mwanza ilivyoungua mwaka huu ulipata taarifa zake? Wataka za Kikristo na Serikali nazo ziungue ili uwepo usawa? Una hakika mkuu? Sasa ripoti itatoka wapi na umeshaandika...
 7. Latrice

  Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora yaungua moto

  Ni kina nani hao? kwenye lugha adhimu ya kiswahili hatuna matumizi ya herufi Q. Na unaweza kuthibitisha kuwa hizi ni hujuma? na zinafanyika ili iweje? Ni kipi ambacho ni cha maana kipo kwenye hizo shule? Ni maswali ya kawaida ila yanaweza kutusaidia kupata majawabu
 8. Latrice

  Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora yaungua moto

  Kwa mwaka huu pekee kuna shule mbili za Kikristo ambazo nimesikia habari zake zimeungua na mojawapo ipo Mwanza. Uliwahi kujiuliza kwanini hizi nazo zimeungua au hii habari huna? Na kama huna mkuu unadhani kwanini? Michezo mingine wanayofanya haina akili acha wachome sana si wamejenga wenyewe...
 9. Latrice

  Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora yaungua moto

  Kwamba nyumba yako umeijenga sawasawa na Shule za kiislamu zinavyojengwa?
 10. Latrice

  Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora yaungua moto

  Kwamba hata Dunia inaweza kuanza kufikiri kwanini Corona ipo nchi kibao na haipo Tanzania? Funny! Ukitembelea platforms mbalimbali ambako hii habari imepostiwa utasoma maoni mengi sana mkuu ambayo yanaonyesha ni jinsi gani Tanzania iko na wapumbavu wengi ambao kimsingi ni mtaji. Wanajiuliza...
 11. Latrice

  Shule ya awali na msingi inayomilikiwa na Taasisi ya Kiislam ya Istiqaama iliyopo mkoani Tabora yaungua moto

  Mkuu ukishafahamishwa kuna lolote utachangia? Vipi ukijua kwamba shule nyingi za kiislamu zinajengwa kwa donation za ndani ya misikiti ambazo hazikidhi kabisa kuajiri wakandarasi wa ujenzi na umeme?
Top Bottom