MASALANGE; KERO YA USAFIRI KATIKA MABASI ILIYO FUMBIWA MACHO!
Masalange au kama wanavyo penda kuitwa, Maafisa usafirishaji kwa kimombo " BUS AGENTS" ni watu ambao wamekuwepo katika kila Stendi za mabasi ili kurahisisha upatikanaji wa usafiri kwa abiria waendao maeneo mbali mbali nchini na nje...
Nimekua nikisikiliza media mbalimbali kubwa duniani kama vile BBC, VIOA, DW, Aljazeera n.k ambazo zina endeshwa kwa kiingereza.
Kwa muda wote huu, media hizi zimekua zikifanya coverage kubwa katika nchi nyingi barani Africa tofauti na nchi yetu, Tanzania. Nimekua nikijiuliza sana mbona kuna...
Niliifuatilia kwa makini ile hotuba ya raisi Samia Suluhu katika umoja wa mataifa. Binafsi kilicho nivutia si umahiri wa lugha alio nao bali ni namna alivo mudu kuiweka tone (upole, utulivu n.k). Kumbuka huwezi kupima competency ya mtu kwa hotuba ambayo tayari imeandaliwa na kufanyiwa mazoezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.