Recent content by Lasway.Jr

  1. Lasway.Jr

    Mpenzi wangu analalamika simtafuti

    Free connections: adventures without obligations await you Live Women
  2. Lasway.Jr

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Hiyo green house international iliishia wapi mzee niliisikia sana pia , walikuwa wanasema Wana soko kubwa Comoro
  3. Lasway.Jr

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Umeeleza vyema sana mtaalamu , lengo langu lilikuwa watu kujua , hii naona ni aina mpya ya upigaji tuu hakuna msaada wowote kwa mkulima
  4. Lasway.Jr

    Kilimo cha Vanilla nchini Tanzania

    Salama wanajamvi, Sitaki kuandika mengi sana ila wakulima wa nchi hii wanapitia mengi sana magumu hasa kutokana na ukosefu wa taarifa sahihi na utaalamu , basi ngoja niwaletee stori ambayo nimeitoa kwenye group Moja la WhatsApp kuhusu kilimo cha Vanilla je ni kweli? Kila mmoja adondoshe...
  5. Lasway.Jr

    Kheri James, achana na sisi kabisa

    Katiba yenyewe ya ccm inaeleza wazi kuhusu Utu , ila huyu jamaa alivuka viwango na pia media zetu hazina uadilifu kabisaa zikawa zina report ujinga ule
  6. Lasway.Jr

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Hongera sana mama , pole sana na msiba huu mzito , ya kwangu ni machache tuu 1. Kuendeleza miradi ya kimkakati na kuacha miradi isiyo ya kimkakati 2. Katibakatiba katiba katiba mpyaaaa 3.elimu elimu elimu hasa elimu ya juu iwe na ubora
  7. Lasway.Jr

    Kenya yatangaza kutopokea mahindi Tanzania na Uganda

    Hii habari ni ya kweli , kutokana na namna tunavyohifadhi mahindi yetu bila kufuata kanuni nzuri , aflatoxin au kwa kiswahili Sumu kuvu ni Sumu ambayo kutokana na aina flani ya fungus (Aspergillus flavus and Aspergillus parasiticus) ambao hukua pole pole kwenye nafaka na nuts ambazo...
  8. Lasway.Jr

    Biashara ya toothpick, namna ambavyo charles forster aliweza kuwa millionaire

    BIASHARA YA TOOTHPICK , Namna ambavyo Charles Forster aliweza kuwa millionaire . Kutoka kwenye mji wa Boston Marekani mwaka 1826 alizaliwa kijana Charles Forster ambae alikuwa na kuanza kufanya Kazi na mjomba wake aliekuwa aagiza na kuuza mizigo Brazil kutokea marekani Miaka ya 1700's watawa...
  9. Lasway.Jr

    Je, ni zipi changamoto zinazowakumba wakulima wa Greenhouse? Eleza changamoto yako hapa upate suluhisho

    Kwa muda mrefu tumekuwa tukishughudia wakulima wengi wa greenhouse wakipata hasara au kutokupata mavuno bora kama walivyotegemea, kuendelea kutumia madawa ya kuuwa wadudu kwa kiasi kikubwa kama wanalima nje, joto kuwa kali ndani ya banda na kuharibu mazao, yaani wengi wamekata tamaa na...
  10. Lasway.Jr

    Kwa wakulima wa Nyanya kwenye Green house fuata ushauri hii

    Utaelewa kwani nini Wakulima wengi wanapenda kulima nyanya kwenye green house na sio mazao mengine Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Lasway.Jr

    Bei za pampu za kumwagilia dawa shambani

    Ziko sprayer za aina nyingi kulingana na mahitahitaji yako , ziko zenye ujazo wa lita 15 ambazo huuzwa 45,000 hapa morogoro , pia zipo ambazo zinaendeshwa na engine tunauza shilingi 450,000, karibu sana 0763347985
  12. Lasway.Jr

    Kwanini Watanzania wengi hawajui/hawafanyi Biashara za Exportation kwenye mazao ya Kilimo?

    Yapo masoko mengi ya bidhaa za hapa ndani huko nje lakini bado tunashindwa kufanya biashara za export tunazidiwa na Kenya, Uganda na sasa hata Rwanda wametuzidi, Sababu kubwa ya kwanza kwa sasa ni connection Still watz wana connection ndogo na masoko ya nje, hatuendi kwenye exbihition, hatuko...
  13. Lasway.Jr

    Mawakili wa Serikali wadai ndege inayoshikiliwa Afrika Kusini ni ndege inayotumiwa na Rais Magufuli

    Hivi wateja wa ATCL wakijua ndege imefugwa vifaa vya usalama watapanda tena?
Back
Top Bottom