Recent content by Lasma1922

  1. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Maonesho makubwa ya mifugo na mnada kufanyika kuanzia 14-16 juni 2024

    Tuliopo kwenye maonesho leo tujuane aisee
  2. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Nataka nianze kufuga ng'ombe wa kienyeji. Naomba ushauri

    Habari wakuu, Kwa anayejua minada ya mifugo Kwa Kanda ya kati ipo maeneo gani Kwa mikoa kama Morogoro, pwani, Dodoma, singida, na Tanga
  3. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wataalam, Mlimao wangu ulipata Shida na majani kuanza kuwa meusi

    Unatakiwa upulize dawa ya wadudu wakati wa maua, hao wadudu Huwa wanaacha mayai yao kwenye maua then tunda linapojitengeneza mayai yanajiangua, larva ndo waharibifu wanaweka matobo na vidonda hivo wanapunguza quality, spray insecticide wakati wa maua
  4. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Natafuta Wataalam, Mlimao wangu ulipata Shida na majani kuanza kuwa meusi

    Hii ni sooty mold, ni fungus , unaweza kuspray mwarobaini(organic pesticide), madawa mengine ya fungus
  5. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Kilimo Cha mahindi

    Hapa inaonesha ulipanda bila mbolea au shamba linatuamisha maji sana, hii rangi ya dhambarau inaonesha upungufu mkubwa wa phosphorus P, ambayo inapatkana kwenye mbolea kama DAP, TSP, MINJINGU, NPK &NPS
  6. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Aina na sifa za mbegu mbalimbali za mahindi

    Wakuu vp kuhusu mbegu za zamseed, mwenye ushuhuda wowote tafadhari
  7. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Aina na sifa za mbegu mbalimbali za mahindi

    Elimu nzuri sana hii, ila ni vema kuelekezana mapungufu ya mbegu husika pia, binafsi Kwa uzoefu wangu mbegu tembo 719 ni mbegu nzuri sana Kwa ukanda wote wa kusini lakini inakumbwa na tatizo la kuoza juu, hii inafanya wakulima wengi kupendelea pan 691, pamoja na DK777
  8. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Nataka kukopa trekta kwa kilimo na kazi ndogo

    53m na jembe
  9. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Nataka kukopa trekta kwa kilimo na kazi ndogo

    46million
  10. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha mboga mboga Morogoro

    Wilaya ya mvomero tarafa ya mgeta kuanzia maeneo ya mlali, nyandira, tchenzema, langali.......
  11. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Weka Profile yako hapa, muajiri akiiona akufuate PM

    Profession: farm manager Education: bacheiof science in Agronomy Experience:fresh graduate Location: morogoro Other additional profession : Data analysis, field surveying and soil sampling, field layouts
  12. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kilimo cha mahindi

    Angalia picha za Hawa wadudu apa chini
  13. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kilimo cha mahindi

    Wadudu hatari Kwa mahindi ni lava ambao badae hugeuka vipepeo na wakikuwa vizuri wanataga mayai na kuendeleza tatizo -lava Hawa wamegawanyika Kuna lava kama weupe hivi (stalk borers), wengine wanakuwa na rangi kama ya pink hivi(pink stalk borers) na wengine ni wale wanamadoa meusi au kijani...
  14. Lasma1922

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa mahindi ya kutengeneza popcorn yanatoka nje

    Ndo utuambie sasa hizo Sheria tuzijue
Back
Top Bottom