Asante,sema ina km 107000 na sijajua sasa kama nibiashara au nikweli jamaa wa be forward aliniambia japan gari ikishafika km 100 inafanyiwa over all so iyo gari ishafanyiwa na timing chain washabadili maana nilitaka kuchukua ya 80000km aka niambia nichukue hii
Sent from my SM-A125F using...
Mimi naona watu wanaongea tu mimi na bmw 2010 cc 2000 ya 320I ? Nimenunua 2020 zaid ya kumwaga oil ,kubadili brake pad aijawai nisumbua nilinunua ikiwa na km 38000 mpaka sasa nakaribia 80000 na ndio gari yangu kwa kilakitu na before nilikuwa na crown but ilinisumbua sana kwenye ac ilikuwa inauwa...
Gari yako ni bmw x3 ya mwaka gani?maana tatizo kama ilo lishanikuta ukishajaza upepo utatembea kama ispo futa utaifuta nenda kwenye setting ya tairi utakuta sehemu ya ku reseting sasa sijajua bmw yako niile yenye screen au
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.