Gari BMW X3 tatizo lishalekebishwa lakini Taa inaendelea kuwaka

Hiyo taa kuwaka sio kawaida,mzungu sio mjinga Kama mbongo ikiwa taa inawaka maana yake Kuna tatizo mahali.

Tatizo letu wabongo na inawezeka a kwasababu ya ujinga wetu,magari yetu tunatengeneza chini ya mwembe.

Sasahivi magari mengi ukiangalia engine Kuna diagnosis box,Ile Ina maana Sana Sasa sisi ni watu wa kupuuza Kila kitu

Madhara yake unaweza usione muda mfupi ujao,ukija shtuka unajuta
Gari za zamani ndio zilikuwa na Port ya Diagnosis kwenye engine bay.

Nimeona kwenye toyota na Mercedes benz.

Ila gari nyingi port zipo ndani. Kama Nissan tangu gari za zamani port iko ndani. Chini ya usukani kule
 
Hongera mkuu. Ulitumia ile button?
Ndio Mkuu, unajua tangu Jana nilikuwa naiwazia Ile button ila sikuwa na uhakika ndio maana nikapiga picha nikakutumia

Nimeibonyeza na kuhold then Taa ika disappear (kwa udhamini wa google)

Nimetembea kama kilometers 12 haijarudi, acha niangalie na mizunguko nitakayoifanya kesho nione kama itarudi
 
haiwezi kurudi hiyo unless kutokee tena shida kwenye tairi,ila ku reset ni simple sana sio kama wanavyotishana humu mambo mengine google imerahisisha ukijifunza.
 
Ndio Mkuu, unajua tangu Jana nilikuwa naiwazia Ile button ila sikuwa na uhakika ndio maana nikapiga picha nikakutumia

Nimeibonyeza na kuhold then Taa ika disappear (kwa udhamini wa google)

Nimetembea kama kilometers 12 haijarudi, acha niangalie na mizunguko nitakayoifanya kesho nione kama itarudi
Hiyo imeshapotea mazima.
 
Abadilishe tairi bwana aache usanii, watu wakinunua rav 4 mnawaona washamba. Afate masharti ya BMW inavyotaka tairi moja ya pirelli ni laki 6 tu sio hela nyingi sana.
Tena hizi dunia kijiji anaagiza tu ebay asubuhi mchana wanakuwa wamemtumia tairi zake kwa email. Aache ushamba dunia kijiji.
 
Ndio Mkuu, unajua tangu Jana nilikuwa naiwazia Ile button ila sikuwa na uhakika ndio maana nikapiga picha nikakutumia

Nimeibonyeza na kuhold then Taa ika disappear (kwa udhamini wa google)

Nimetembea kama kilometers 12 haijarudi, acha niangalie na mizunguko nitakayoifanya kesho nione kama itarudi
Ukifika kms kma ambazo ulifika wakati imewaka itawaka tena. Sasa hivi umeizubaisha tu kwa muda. Au itakuwa imeungua....
 
Kwahiyo mkuu unanihakikishia kwamba nikibadilisha Tyres zote Taa itazima sio

Na kama nikibadili halafu ikagoma kuzima?

Hapo Cha kufanya, tafuta fundi mwenye diagnosis mashine wafute. Ikiendelea huenda sensor ikawa na tatizo.

Usikimbilie kubadili tyre Kiongozi.
 
Gari yako ni bmw x3 ya mwaka gani?maana tatizo kama ilo lishanikuta ukishajaza upepo utatembea kama ispo futa utaifuta nenda kwenye setting ya tairi utakuta sehemu ya ku reseting sasa sijajua bmw yako niile yenye screen au

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom