Recent content by lars

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ummy Mwalimu: MOl imepunguza rufaa za Wagonjwa kwenda nje ya nchi

    Kazi nzuri Ummy na MOI
  2. L

    JamiiForums Tanzania Bima ya Afya kwa wote ni neema kwa Watanzania wote

    good move
  3. L

    JamiiForums Tanzania Faida za Muswada wa Bima ya Afya kwa Wananchi wa Kawaida na Masikini

    Pitisheni Sheria hii haraka sisi huku tunasubiri haraka....shs 340,000 kwa mwaka kwa watu 6? nini nini kwa afya zetu ? mbona huku sisi tunapiga kinywaji , pombe za kienyeji, harusi, na michango makanisani zaidi ya hiyo 340000
  4. L

    JamiiForums Tanzania Fedha za kupambana na UVIKO19: Tenda ya Sept 29 na mwisho wa maombi Sept 30?

    Mbona mie nimesikia hiyo kitu ilishafutwa na wizara ... ??????
  5. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya zakutana kujadili Changamoto za UVIKO-19

    Ni vema Changamoto za mpaka wa Namanga zikatatuliwa
  6. L

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kuanzia Julai 26, 2021 kila anayetumia usafiri wa umma avae barakoa

    Hapa tutekeleze tu maelekezo ya profesa . Tukileta ubishi tutaishia kwenye mitungi ya oxygen
  7. L

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Mchakato wa chanjo umekamilika, itatolewa bure

    Wewe ni kijana uchwara, hujui kuja nchi wanauza? ni bure kwako kwa sbb inalipa serikali
  8. L

    JamiiForums Tanzania Serikali: Suala la Covid-19 tunachafuka kupitiliza

    HIvi huko Ulaya, mnapolipa huwa hamuoni machingu? Yaani PCR inananuliwa bure? Nani anafidia hizo gharama. Sijaona hoja zaidi ya watu kutokujitambua
  9. L

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa Dkt. Bashiru ningeamua tu kujiuzulu

    Sioni sbb ya kulaumu hapa. Uongozi wa Utumishi wa Umma kuna kupanda na kushuka..bila kususia. Soma historia za Akina Hayati Kawawa,.... mhe Msuya, Malecela ambao walipanda na kushuka na kuendelea kutumikia Wananchi pale walipopangiwa. Nyie watoto wa shule za Kata na utandawazi mna matatizo sana.
  10. L

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Matendo ya utumishi wa Hayati JPM ni wazi yanastahili kumuweka katika ukurasa wa Mwenye Heri na pengine kuwa Mtakatifu.. Angalia alivokuwa Mchamungu, mzalendo, mwajibikaji, mwenye huruma na aliyejali Masikini na aliyeleta maendeleo kwa muda mfupi. Anaondoka bila kunyonga wafungwa, kapewa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Profesa Makubi: Serikali imeunda Kamati ya wataalamu kufuatilia masuala ya Chanjo ya Corona

    Watu wengine bana.. Hivi wamelegea nini.. ???? Hujui kile Rais aliagiza? nyie wapotoshaji mna laana ya mungu. Tuwaache watalaamu wafanye kazi kazi ya uchunguzi na ushauri.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Nyie wabishi mnaosubiri Jina hilo... Ngoja iwatandike ndo mtajua umuhimu wa kuchukua tahadhari. Ujumbe unaeleweka prof... waache ufipa kama wao hawataki mungu atawaadhibu.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Wetu wengine na wazindikaji tu. na wachonganishi. Watu kuambiwa kuchukua tahadhari huyu prof ndo kaanza? Mbona hata No 1 alituelekeza hivyo?
  14. L

    JamiiForums Tanzania Gazeti la The Washington Post laripoti kauli ya Rais Magufuli kuhusu Corona na chanjo yake

    Wewe mtu UMELOGWA...unajianika ignorance yako. Hivi hujui Baadhi ya Cancer kama ya tumbo na kikazi zinasababishwa na infections ambao kama chanjo ingekuwepo watu wasingepata? Uelewa wako mdogo zaidi ya kunidhalilisha. JPM yuko vzr .
  15. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yataka majibu ya corona ndani ya saa 24

    INALENGA WASAFIRI, CORONA HAIPO, LAKINI MASHIRIKA YA NDEGE YANALAZIMISHA KUPIMA. HONGERA SERIKALI KUONDOA UCHELEWESHAJI KWA WASAFIRI
Back
Top Bottom