Habari zenu wanajukwaa wenzangu, shida yangu ni moja, nimeletewa simu aina Tecno Y4 ambayo ime-corrupt software, sasa lengo langu ni kutaka ku-factory reset.
Hatua1. niliyofanya niku-bofya Volume Up pamoja na power button then ikaniambie mode ya kwenda, ambapo kulikuwa na Normal, Recover na...