Yuko wapi Madgalena Mayanka Chami, msichana mwenye akili sana pale holy familiy girls sec school.
Alikuwa anawakimbiza hadi wachina na wahindi mbaya mbovu.
Masomo yote hajawahi pata chini ya A
Hata mm hili nililiona toka zamani.....maana hatuoni kama wakristo wanatuandaa vijana.....juma aweso kakoso ......ni nani sasa mwenye moto kama wa magu?
Hata mm natafuta simu nzuri....
Ambayo haistuck kijinga....haumudu kufanya vitu kwenye internet muda mrefu ni kuchemka tuuuu....jinga sana...iwe na uwezo kwenye internet
Ww mirungi ya arusha inakuharibu akili....hivi ww unajiona ulikuwa na akili kuliko magufuli mpaka umuite tahira? Huna credibility yoyote ya kusikilizwa kwa kichwa chako kichafu hivi......yaan ww mi mchaga wa hovyo sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.