Recent content by LaplaceTransformation

  1. LaplaceTransformation

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu aonekana Kariakoo, atangaza opereshani rejesha Bandari za Tanganyika kutoka kwa Sultan wa Dubai imeanza

    Kwani hujui kwamba adui wa adui wako in rafiki yako!
  2. LaplaceTransformation

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna mahusiano gani ya moto na hili balloon?

    Pitia hapa kama lugha inapanda!
  3. LaplaceTransformation

    JamiiForums Tanzania SoC02 Nimefanikiwa kuwa Daktari kwa msukumo wa mama ambae ni kichaa, alibakwa akanizaa mimi

    Ukisikia kuishi ndoto zako ndo huku sasa, siyo wale wa " unataka kazi gani?" Aaah yoyote tu!
  4. LaplaceTransformation

    JamiiForums Tanzania Singida: Watu 6 wafariki kwa ajali ya gari

    Atakuwa mmoja wao!
  5. LaplaceTransformation

    JamiiForums Tanzania Hii Taarifa ya NHIF kama ni ya kweli basi Tanzania tuna tatizo

    Kuwa na mifuko mingine ndiyo njia pekee ya kutuokoa! Irudi kama ilivyokuwa kabla ya kipindi Fulani.
  6. LaplaceTransformation

    JamiiForums Tanzania Kivuli Cha mawingi kwenye TV

    TV - SONNY Kng'amuzi - DSTV
  7. LaplaceTransformation

    JamiiForums Tanzania Kivuli Cha mawingi kwenye TV

    Naomba msaada ni Kwa nini kitu hiki kinatokea kwenye TV yangu nikiwasha!
  8. LaplaceTransformation

    JamiiForums Tanzania Youtube downloader for Android

    Mimi natumia TubeMate, inaniinua kidogo
  9. LaplaceTransformation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemhudumia kwa zaidi ya 900k Guest, lakini kanipiga tukio

    Kwa kifupi wewe ni sawa na anaye somesha mchumba, akishafaulu mchumba anamkataa!
  10. LaplaceTransformation

    JamiiForums Tanzania Mmea wa Bitter Cola

    Yote ni sawa, ,[emoji116][emoji116]
  11. LaplaceTransformation

    JamiiForums Tanzania Programming language: Wapi tunakwama kujifunza?

    Wale malegend rulio anzaga na Machine Language, then COBOL halafu PASCAL enzi hizo tupo wapi?
  12. LaplaceTransformation

    JamiiForums Tanzania Mmea wa Bitter Cola

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Pita hapa kwanza kabla haujaondoka!
  13. LaplaceTransformation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Kweli kabisa!
  14. LaplaceTransformation

    JamiiForums Tanzania Mmea wa Bitter Cola

    Asante sana mkuu.
  15. LaplaceTransformation

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wiki iliyopita tu kuna mmoja nilimwona DP ya WhatsApp, nikamfuata messenger. Mazungumzo yalikuwa ifuatavyo:- Mimi : Hi Yeye : Hi Mimi : Unakata wapi? Yeye : Kimara. Mimi : Mwemyeji wa wapi? Yeye : S.....a Mimi : Unaumbo zuri na vidole vizuri Yeye : Mirushir buku mbili in kazi nayo Ili tuweze...
Back
Top Bottom