Recent content by Laozi Lao Tzu

  1. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Baada ya kumpa kibano cha maana amekubali kuwa walishaga mnanilii tokea sekondari😥

    Too sad sasa kuna hawa wanajiita mashoga mikazo hawa huwezi wajua lakin wapo wengi kuliko hawa wenye girlish behavior...unakuta limwanaume limekaza kijeba mpaka una sema kidume si hiki halafu unakuta linakuomba ulikaze au unagundua wanalikaza.
  2. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Wazanzibar walivyoandamana kudai Muungano uvunjwe

    Wazanzibar hawawezi andamana haswa kipindi hichi bcoz Rais wa muungano katoka kwao, so now their good, halafu mmeenda Zanzibar wakuu kwanza? Kule kumenoga! Zanzibar inajengwa now, si Zanzibar ile, mambo mazuri huko, Marais wanao na wanatamba nao 😂
  3. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaomba ushauri wako

    Hakuna njia moja kila aliyefanikiwa basi kafanikiwa kwa namna yake, so huwezi pata jibu la moja kwa moja hapa, kama wakijitokeza kukuambia lakin. Ujue tu kwamba Kuna aliyefanikiwa kwa halali na mengine kwa haramu. Hii inaweza kuwa kwa biashara (mbalimbali) au kwa ajila (pia tofauti tofauti) so...
  4. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Ndoa imenizawadia kiharusi

    Too bad mda mwingine unaweza kuwa na mtu na akashindwa kukutawaza vile vile. Ni kweli lakin pia unaweza zeeka na mtu yupo na ukakosa matunzo vile vile tena mda mwingine ukiwa na mtu ambaye sio sahihi anaweza kuwapa sumu mpaka watoto mliowazaa wenyewe nao wakakutenga kwasabab wanazozijua wao...
  5. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Dawa ya meno yenye ubora wa kukinga meno yako kuoza ni yenye madini ya fluoride ya kiwango cha 1450-1500ppm kwa watu wazima na 1000ppm kwa watoto

    Asante kwa ku share nasi...sikua najua ntaanza kufuatilia nikiwa nanunua. Pia nje kidogo ya mada, me huwa najiulizaga kwanini tunatumia neno "kupiga mswaki" badala ya either "kusafisha meno" au "kusugua meno" au wengine huwasikia wakiita "dawa ya mswaki" badala dawa ya "dawa ya meno"
  6. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii Mwenyekiti wa Wapangaji Tanzania, hivi Mwenye nyumba wako anakubali kodi ya mwezi mmoja?

    Sema sasa, tukisema kila mwezi ndo mtu alipe mbona itakua balaa, bcoz kutakua na usumbufu pande zote mbili, mpangaji na mpangishaji, imagine kila mwezi uamze kumkumbusha mpangaji alipe Kodi halafu anze na usumbufu juu, Fikiria kila mwisho wa mwezi mwenyenyumba huyu hapa 😁 itakua noma sana...
  7. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua biashara ya mapochi (hand bag za wadada) ikoje kuna mdau anataka kufanya?

    Asante kwa ushauri 🙏.....umefika bila shaka
  8. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua biashara ya mapochi (hand bag za wadada) ikoje kuna mdau anataka kufanya?

    Special nafikiri(kama maana yake ni mpya)...but amesema sio mtumba
  9. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua biashara ya mapochi (hand bag za wadada) ikoje kuna mdau anataka kufanya?

    Simu yenye WhatsApp anayo. Location anataka peleka mikoa mbalimbali but anataka kuuza kwa jumla lakin pia hata rejareja
  10. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua biashara ya mapochi (hand bag za wadada) ikoje kuna mdau anataka kufanya?

    Kuna mdau ameniomba nimuulize humu. Anataka kufanya biashara ya mapochi (purse or handbag) So anataka kujua kama wapo wanaofanya je:- 1) Soko likoje? 2) Aina Gani ya ma bag yanapendwa sana na wadada au wamama 3) Je, wap anaweza nunua mzigo hapa Tanzania awe anauza? 4) Mtaji wa shilling ngap...
  11. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Nitaidharau sana Serikali yoyote ile duniani ambayo inapewa 'Ultimatum' na Raia tu wa kawaida au Kikaragosi yoyote mwenye Ushawishi katika Jamii

    Nachopendea jamiiforum ni kwamba tunakukutana na watu tofauti tofauti (diverse people) pia inaweza kutufanya kujua mawazo na akili za wengine katika kufikiria Mambo Huyu nae yupo sawa tu kwa mawazo yake lakin, na wengine watakao kubaliana nae
  12. Laozi Lao Tzu

    JamiiForums Tanzania Waumini Wa Mwamposa Moshi Wasema''Alituponya hata kesho akija tunaenda

    Jamani watu wanamatatizo, Tena wengine ni makubwa sana. Kwa hiyo nahisi watu wanatafuta faraja popote ilipo haijarishi ni wapi, iwe kwa mwamposa, ngwajima ama yoyote yule ama popote pale hata iwe kwa waganga, kwa hiyo mtu akipata pakujifariji na kujipa hope mambo yatakaa sawa ama kama ni ugojwa...
Back
Top Bottom