Recent content by Langley1940

  1. L

    JamiiForums Tanzania Massey Ferguson 290 4WD na FORD 8210

    Mkuu hapo juu MF 390 , 4 WD,75 HP mnauzaje used ? Na zinakuwa kutoka UK ? Tafadhali mwenye uzoefu na hizi trekta ,ni trekta ipi ya MF 390, 4WD kutumia kwa ardhi ya maeneo mengi inatakiwa ya HP ngapi ili km mjasiliamali unayeanza ikupe faida ya kulima mashamba yako na mashamba ya...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Massey Ferguson 290 4WD na FORD 8210

    ni za horse power ngapi kwahiyo mil 17 ? MF 390 4WD ,75Hp mnauzaje ? Na ni used jutika Ui ?
  3. L

    JamiiForums Tanzania Namwonea sana huruma Mpenzi wangu, Ntachomfanya atajuta kunifahamu.

    Km ulivyopata ujasiri wa kumtongoza na ndio hivyo hivyo unapaswa kukaa nae chini na kumweleza ukweli kwamba hauko tayari kumuoa full stop mwanzo atabisha ila baadae atakubaliana na ukweli,una sababu ya kuogopa kumweleza km kweli hupendi kumpotezea muda wake.
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rafiki yangu hataki niende kwake akiwa yeye hayupo(akibaki mkewe)

    Ukapige story na mke wake ili iweje ? Usipende kuleta mazoea na wake za watu ,yupo sahihi sn kwa alichokueleza na unapaswa kuheshimu na haina maana kwa ww kuhoji hapo ni kwake.
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsin ya kuhack fb

    Mkuu Mkuu Mazagazagaa tafadhali ni Pmnamba yako nipo Dar kuna kazi hiyo nikupatie
  6. L

    JamiiForums Tanzania Mambo 10 ya kujiokoa na shambulio la ugaidi

    mambo kumi yako wapi ? Mkuu vp au yanaendelea tusubiri
Back
Top Bottom