Recent content by langaji

  1. L

    Waziri wa TAMISEMI fumua uongozi wote wa TARURA Mkoa wa Mara

    Mkuu vipi huu ushauri wako umefanyiwa kazi?
  2. L

    DOKEZO Rais tunakuomba utupie jicho TARURA

    Hata hivyo hakuna kazi yoyote iliyoruhusiwa kuanza kule Mara.
  3. L

    Jenereta: Fahamu Aina, Matumizi Sahihi, Matengenezo na Namna ya Utunzaji wake

    Ndugu zangu naomba kujuzwa ikiwa kuna jenereta inayoweza kutumika kuvuta maji na pia wakati mwingine kutumika kuwasha taa za nyumbani
  4. L

    Dawa ya kutokomeza miti ya miiba shambani

    Kwa sasa nafikiria zaidi kilimo jamani. Mambo ya ajira rasmi ni mi🖐 tena
  5. L

    Dawa ya kutokomeza miti ya miiba shambani

    Asante mkuu. Nitafuata ushauri wako. Vp ni kutumia pump
  6. L

    Dawa ya kutokomeza miti ya miiba shambani

    Habari za majukumu ndugu zangu. Ninatafuta suluhisho la kudumu la miti midogo yenye miiba shambani. Hii mimea imekuwa kero kubwa kwangu kwani kila nikipanda shamba, hiyo miiba huchipua. Hata ung'oe mizizi yake, bado hujiotea tena. Kwa mwenye uzoefu wa kutatua tatizo hili la kilimo naombeni...
  7. L

    Ajira za walimu: 5000 wasambazwa kwenye vituo vya kazi wiki mbili zilizopita

    Hebu tuwe serious, mambo mengine yanaudhi sana. Walioajiriwa mwanzo bado hawajalipwa mishahara then wengine wamesambazwa kimyakimya
  8. L

    TAMISEMI fuatilieni Wakurugenzi wa Halmashauri zote kuhusu ajira mpya za Waalimu kuna urasimu mkubwa

    Mimi mmojawao. Kinachoudhi ni kutokuwa na accountability kuhusu hili suala la mishahara. Usishangae mwezi huu ukapita free tena
  9. L

    Muundo wa Utumishi wa Wahandisi watakaofundisha shule za ufundi sekondari

    Kila taasisi ina mishahara yake. Tunazungumzia Tamisemi achana na Ngorongoro
  10. L

    Muundo wa Utumishi wa Wahandisi watakaofundisha shule za ufundi sekondari

    Kwani kuajiriwa kama mwalimu ina uhusiano gani na ngazi ya mshahara. Kwani hakuna walimu wanaolipwa ngazi E
  11. L

    Muundo wa Utumishi wa Wahandisi watakaofundisha shule za ufundi sekondari

    Nashukuru mkuu. Ina maana tufanyaje sasa incase tumeanza kulipwa D1 sisi Wahandisi.
  12. L

    TAMISEMI fuatilieni Wakurugenzi wa Halmashauri zote kuhusu ajira mpya za Waalimu kuna urasimu mkubwa

    Mkuu uko vizuri sana kwa ushauri na ufariji. Hongera kwa huo moyo
  13. L

    Muundo wa Utumishi wa Wahandisi watakaofundisha shule za ufundi sekondari

    Kwani Engineer ni mwalimu? Kuna mkanganyiko. Wakati wa kujaza taarifa za ajira, baadhi ya maafisa utumishi wamesema sehemu ya mshahara iachwe kwanza. Wengine wamejaza TGTS D wengine E.
  14. L

    Call For Interview UTUMISHI At UDSM, TMDA, TANROADS, MNMA, IJA, WI, NM-AIST, DMI & SHUWASA, January 2021

    TANROADS wametangaza nafasi 21 lakini walioitwa kwenye usaili ni zaidi ya 1200. Dooh!
Back
Top Bottom