Recent content by Landrover 109

  1. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Aanguka akiliwahi lori la kampeni za CCM Mbeya

    Ati mifugo😄😄
  2. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Kati ya Profesa Kabudi na Daktari Samia nani msomi?

    Uprofesa wa kabudi uko kwapani kwa mwanasiasa, kwavile tunasoma ili tutawale Mazingira, hapo msomi ni Samia
  3. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Msaidizi alipotukanwa na mwenye nyumba kwenye veranda, mmiliki wa awali akamwambia tu namaliza mchezo kuwa mvumilivu. 8/100

    Ningependa kumjua mtumbuizaji aliepita na beki 3. Atakua ndio super marioo kwa sasa!?
  4. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania GE2025 TRC Mna wajibu wa kuueleza Umma kiasi mlicholipwa na CCM kusafirisha lundo la wafuasi wao kwenda Morogoro kujaza Uwanja

    Kuna bwana mdogo alikosa kazi ya jiji sehem eti kisa hana kadi ya CCM, its not fair, sometimes nchi inakosa watu competent kwa upuuzi upuuzi wa siasa
  5. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Aren't: Nchimbi be careful

    Mtandao haupoi
  6. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Polepole amefanya nimwelewe Magufuli

    Kama ni kweli kuna mtu aliondoa uhai wa Magufuli, alitukosea sana. Inaumiza aisee
  7. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Kwanini Vijana wengi wa Kitanzania Wanaona Kujihusisha na Siasa ni kupoteza muda?

    Siasa ni maisha, mitaa inabidi ielewe political systems ila inakatishwa tamaa kutokana na miyeyusho ya vibabu vihuni vilivyoifaidi keki ya Taifa tangu Nyerere,na havipendi vijana wasanuke. Hivyo vizee vinataka vijana waishi misingi ya uongo, wakisimamia ukweli vinawaua au kuwaharibia maisha...
  8. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Bado nina imani na mapambano ya CHADEMA kupata Reforms

    Silencing the truth to keep peace is not peace, it's quiet suffering. Watu wanajazana kwenda kushangaa wasanii, ila mioyoni wanaugua. Taifa limevimba
  9. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Kwanini kwenye Biblia hatuwaoni Wasanii bali tunaona Wanasiasa, Wanajeshi, Wanasheria, Waandishi, Mapolisi na Watoza Ushuru?

    Lucifer alikua msanii huko mbinguni, Mungu akamtupa duniani. Naskia jamaa lilikua linaimba balaa
  10. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania GE2025 Shule zote za Serikali Morogoro Mjini zimefungwa muda huu, Walimu na Wanafunzi watakiwa kuhudhuria kampeni za CCM

    Kama lina ukweli, basi cha kimekua chakavu sana.
  11. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Ikulu Tanzania katika mtandao wa X, washambuliwa kwa ku-post picha za uzinduzi wa kampeni za CCM

    Inaonekana kodi zetu zimechotwa sana kwenda kwenye tamasha lao la wasanii
  12. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia aliposhika madaraka marafiki zake Hayati Magufuli walikuwa na hofu

    Mpaka vizee vihuni, nchi ngum sana hii
  13. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yafuta amri za Msajili wa vyama vya Siasa kwa CHADEMA, hukumu nzima hii hapa

    Hili suala la msajili wa vyama vya siasa kuwa biased linamfanya akose credibility. Nafasi ile anapwaya
  14. Landrover 109

    JamiiForums Tanzania GE2025 Machinga waelekezwa kwenda kawe Kujaza Uwanja hakuna kufungua Vibanda leo

    Wengi hawana habari na sera, wanaenda kuangalia tamasha la muziki
Back
Top Bottom