Recent content by Landgreen

  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa Sekondari Mpaka Chuo Kikuu: Pata Vitabu vya Masomo Mbalimbali Hapa

    Habari I za muda huu, Nimependa Sana Uzi huu, nami ombi langu Kama Kuna mtu Mwenye soft copy ya vitabu vya darasa la pili vyote, Aweke Asante I [emoji120]
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ipi ni aina bora ya water pump?

    Bei ya mpira tu ambao unaweza Kuimwagilia umbali wa mita sabini Ni sh. Ngapi
  3. L

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Hii Ipo vizuri Sana, Big up OUT
  4. L

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu Huria (Open University of Tanzania)

    Dar es Salaam ofisi zao zipo wapi kwa anaefahamu humu anisaidie, Pia Kama Kuna contact zao nisaidiwe hapa niwatafute moja kwa moja
  5. L

    JamiiForums Tanzania Elimu ya Uraia na Haki inahitajika sana Tanzania!

    Nakubaliana Na Wewe Ila Bado Nina Swali Kwani Katiba inasemaje? Me Bado sijafaham, endapo hatukubaliani na Mambo yanayofanywa na viongozi, Ni njia ipi ya kufanya Ili kuwaonesha Kuwa wapo kinyume na sisi? Ni kwa kuandamana au Kuna njia Nyingine mbadala? Kama Kwa kuandamana Tunaweza pata haki...
  6. L

    JamiiForums Tanzania SoC01 Wahitimu wa Vyuo na Maisha ya utafutaji Mtaani

    Nakubaliana na wew,
  7. L

    JamiiForums Tanzania Upepo mkali Tanga Mjini

    [emoji1787]
Back
Top Bottom