Lakini ujue huwezi ondoa takwa la mabadiliko ndani ya mioyo ya wananchi yatachelewa lakini yatakuja tu,muda hakimu mzuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dr unaandika haya kama huoni ccm imebana uhuru wa kujieleza,kwahiyo angalau wenye uthubutu wa kusema bila woga Zito,Mbowe, Mbati na Mzee Rungwe waendelee kuongoza vyama hivyo kuliko mapandikizi wa ccm unategemea nini kwenye uwanja usio sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna TLP,CUF,UDP nk hamvioni mnaona CDM mtatapatapa sana,haijuzulu wala nini,tena tunabadilisha katiba awe wa kudumu tuone sasa,wachumia tumbo tu ninyi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unataka upinzani upi ufanye hamasa
Hamasisha wewe huku mtandaoni kwani umekatazwa?kwani upinzani ndio wanataka wapiga kura peke yao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninakubaliana na wewe sababu alizotoa ni za kitoto kama alikotoka kuna demokrasia mbona alibwagwa kura za maoni akakimbia?Sifuri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Nikusahihishe shule ya sekondari Lyamungo ilijengwa na chama cha ushirika KNCU na sio wakoloni,wachaga waliona mbali siku nyingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kwanini KKKT inawaumiza sana au kwa vile inaongozwa na Dr.Shoo msiemtaka? Ameshakuwa sasa subiri miaka 4 iishe,ila Mungu ni mwema atatuinulia mwingine zaidi ya Dr Shoo kwa msimamo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Write your reply...Kila mwaka yanafanyika maombi ya kitaifa,je wanamaombi hawajaweza kujua kama Tanzania tunayo shida?Maana katika maombi ukiwa katika ulimwengu wa roho unaonyeshwa yakupasayo kuyaombea.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.