Recent content by LAMU

  1. L

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote halali isipokuwa kuuza bar, naomba nisaidieni

    Upo mkoa gan
  2. L

    JamiiForums Tanzania Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Ha ha ha haaaaa!!! Huyu jamaa noma, mi pia nilichat naye whatsap namba +256755522898 nilichati naye pm yule Katelelo baadae akaniomba namba ya whatsap akanitext eti yupo Uganda Kampala akasema yeye anakampun makao makuu yake Dubai kuna kazi nimtumie tu pesa kwa ajili ya kuniunganisha huko...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Ndio
  4. L

    JamiiForums Tanzania Mjadala Maalum: Wanaosaka ajira nje ya Tanzania

    Mi natafuta kazi ya house girl USA
  5. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namchukia sana mume wangu kwa sababu ya wivu wake..

    Napenda wivu kias tu, and not too much wivu
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namchukia sana mume wangu kwa sababu ya wivu wake..

    Hata gengen sifki kwani kuna dada wakaz ndo niliambiwa niwe namtuma mi nisitoke hata kdogo... Na kuna kipindi anaacha katufungia kwa nje hadi ataporud
  7. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namchukia sana mume wangu kwa sababu ya wivu wake..

    Thanx, nitafuata hatua zote ulizoniambia , japo kwa wazaz wangu nilishalifikisha, na kwa ndugu zake pia, bahat mbaya yeye hana wazaz washatangulia mbele ya haki tayar
  8. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namchukia sana mume wangu kwa sababu ya wivu wake..

    Ha ha ha haaaaa,,, huku cjaja kumuanika ila kuhtaj ushaur ili nijenge ndoa yangu
  9. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namchukia sana mume wangu kwa sababu ya wivu wake..

    Kutoka nje ninakomaanisha siyo kwenda kumsart ila nitoke niende hata kwenye misiba na matatzo mengine yanayowahusu bnadamu kama mimi
  10. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namchukia sana mume wangu kwa sababu ya wivu wake..

    Nimeshamweleza mara nyingi sana, lkn hatak kunielewa
  11. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namchukia sana mume wangu kwa sababu ya wivu wake..

    Nimeshamwambia hataki, na hata wazaz wangu walimwambia, lkn anachojibu ni kwamba kwani anakosa nn hum ndan? Kila anschotaka nampa..
  12. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namchukia sana mume wangu kwa sababu ya wivu wake..

    Habari zenu wana jf naombeni ushauri kwenu. Nifanyeje? Maana nimejikuta simpendi tena mume wangu kwani amezid wivu . Nimekuwa ni mtu wa kushinda nyumbani tu hataki nijishughulishe wala kutoka kwenda kwenye sherehe na misiba hataki, pia hataki hata niongee na mtu yeyote yule hata jirani. Sasa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza ice cream za vijiti (chostick, au barafu za viijiti)

    Vifaa vya kutengenezea vinapatikana wapi? Kwa kahama
  14. L

    JamiiForums Tanzania Secretary anahitajika haraka

    Nimetuma email but kimya
Back
Top Bottom