Recent content by Lampedusa migrant

  1. L

    JamiiForums Tanzania Msaada Restruction code

    Wakuu nina simu imetoka nje nokia 6600f haisomi laini yoyote inataka restruction code Chief-Mkwawa Mwl.RCT
  2. L

    JamiiForums Tanzania Namna gani simu yangu itumie line zote!

    Mie nina nokia 6600f haisomi laini za Tz,inadai restruction code inaweza kukubali? Mwl.RCT
  3. L

    JamiiForums Tanzania Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    Mie nna nokia 6600f imetoka nje,inadai restruction code je inawezekana Mwl.RCT
  4. L

    JamiiForums Tanzania Jiko dogo la gesi linauzwa

    Mkuu leo umehamia kwenye jiko la gesi :) , simu basi tena au....
  5. L

    JamiiForums Tanzania hapa wapi?

    Algiers.
  6. L

    JamiiForums Tanzania Kutembea South Korea

    hmmmmm !!!
  7. L

    JamiiForums Tanzania Kutembea South Korea

    South Korea!. vo mkuu umeshawahi fika?
  8. L

    JamiiForums Tanzania Kutembea South Korea

    Mkuu package kama hio bongo hamna,rahisi sana..
  9. L

    JamiiForums Tanzania Kutembea South Korea

    Mkuu asante, ndege nafuu ya kwenda huko ni Qatar Airways.. nafanyia ushauri wako uliobakia..
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kutembea South Korea

    Mkuu nategemea as soon as possible nikipata reliable details ntakuwa na maamuzi sahihi.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kutembea South Korea

    mkuu asante sana, vp kuhusu bei za hoteli,vyakula na mazingira ya huko? nawakubali sana hawa jamaa.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Kutembea South Korea

    asante mkuu, Mie naenda kwa kutembea tu na kubadlisha mazingira.. mkuu unaweza kufunguka kama unaenda kutafuta maisha kukoje mazingira yake..
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kutembea South Korea

    But mie siendi kuishi huko sister, naenda kama kwa kutalii.. na kuhusu ubaguzi,i dont care kwa sababu hata hapa TZ upo!
  14. L

    JamiiForums Tanzania Kutembea South Korea

    Mkuu msaada wa step wa kufika huko, na maisha ya huko vp mkuu ushawahi fika?
  15. L

    JamiiForums Tanzania Kutembea South Korea

    Wakuu baada ya kuwa mpenzi wa kupitiliza kuhusu Drama za Korea, nmefikiria kwenda kutembelea south Korea ila Sina Idea yoyote ya huko... Naombeni msaada wakuu najua humu ndani msaada tosha. Najua humu ndani wako waliofika na wenye Idea kuhusu Korea... Asanteni sana kwa watakaonipa mchango wao.
Back
Top Bottom