KIKAO CHA KAMATI KUU...................kikao cha kamati kikuu kinaendelea sidhani agenda ni moja tu, kuna agenda nyingi hiyo ni ndogo sana, lakini CHAMA CHA MAPINDUZI KINA MISINGI YAKE KILIYOJIWEKEA TOKA ENZI NA DAHARI, acheni ushabiki maandazi Edward Ngoyai Lowassa hawezi na hataweza kuwa rais...