Wanaowania Ubunge EAC toka CCM hawa hapa...

Mkuu,

Kuna hii tabia ya baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo vikuu ughaibuni kuwapiga majungu wenzao,huu unafiki tu.Pengine mtu anafanya hivyo kwa kuwa yupo nyuma ya KEYBOARD na hawezi kuongea haya wakiwa face to face.Vijana acheni unafiki,tusijenge taifa la hovyo.Kama kuna tofauti ambayo ni personal kati yako na yeye ni better uzimalize nje ya jukwaa hili.Hata hivyo niwatendee haki ya kuwapa benefit of doubt anyways

Tujenge tabia ya kuja na uthibitisho unapotoa tuhuma dhidi ya mtu. Vipi mkuu,unaiheshimu CCM hadi sasa kwa lipi? na ni kwa nini kama huyo jamaa akipitishwa unaona kama vile itakuwa kigezo mojawapo cha wewe kukidharau hicho chama?

Hutaki unaacha!!!
 
Duh, nimestuka nilipoliona jina la baraka Kange. ni kifisadi papa hicho. Jamaa nimesoma nae India, ametapeli wengi kwa kweli. Hasahasa (freshers) wanafunzi wageni waliokuwa wanakuja kuanza masomo. Na kama mabinti alikuwa anawataka kimapenzi sana. Ili awape msaada, wanapokuwa shida au hawajui information flan.

Hivi CCM huwa wana records za mtu, au huwa wanaokota tu mtu yoyote. Jamaa akipita nitakidharua hiko chama.

Afu nakumbuka jamaa hata degree hakumaliza. Na wala alikuwa haileweki anasoma chuo gani na anaingia darasani saa ngapi. Tulisikia tu amerudi bongo. Jamaa mishemishe na deals nyingi sana.
Mkuu, mambo yamebadilika. Kwa muda tuliopo, hizi ndizo sifa zinazotakiwa kwa mtu kuukwaa uongozi. We subiri, si ajabu huyo huyo unayemfahamu kwua ni fisadi ataweza kuwa kati ya washindi
 
Mkuu,

Kuna hii tabia ya baadhi ya wanafunzi kutoka vyuo vikuu ughaibuni kuwapiga majungu wenzao,huu unafiki tu.Pengine mtu anafanya hivyo kwa kuwa yupo nyuma ya KEYBOARD na hawezi kuongea haya wakiwa face to face.Vijana acheni unafiki,tusijenge taifa la hovyo.Kama kuna tofauti ambayo ni personal kati yako na yeye ni better uzimalize nje ya jukwaa hili.Hata hivyo niwatendee haki ya kuwapa benefit of doubt anyways

Tujenge tabia ya kuja na uthibitisho unapotoa tuhuma dhidi ya mtu. Vipi mkuu,unaiheshimu CCM hadi sasa kwa lipi? na ni kwa nini kama huyo jamaa akipitishwa unaona kama vile itakuwa kigezo mojawapo cha wewe kukidharau hicho chama?

kaka jamaa wala sina abifu nae.. na wala hakuwa mshikaji wangu kivile... ila nataka awe famous kama Joseph Konny. ili watu wanapomchagua wamjue na tabia yake pia.

Russell alivyoamua kumtangaza Joseph Konny si kwamba ana bifu nae. ni kwamba anataka jamii imtambue huyu mnyanyasaji wa watoto(uganda)...... Au Dr Slaa anavyowatangaza mafisadi ni kwamba ana bifu nao???
its to awaken society, and kufanya jamii wawe macho na watu kama hao ambao hawana NIDHAMU.
 
Dr. Slaa alitumia vithibitisho mkuu,wewe unafanya tofauti.....
 
a clas wil riprodyuz itself
Je hii iko kwenye kile kitabu kitukutu???? Ahhahhh... Kumbe ndo yale ya akina mubarak, sadam, gadaff, assad, kingdoms of saudi, morroco, jordan, barhrain, oman nk nk. A class will reproduce itself!!! Shia Islam is right a descendant of muhammad should lead the umma
 
Duh, nimestuka nilipoliona jina la baraka Kange. ni kifisadi papa hicho. Jamaa nimesoma nae India, ametapeli wengi kwa kweli. Hasahasa (freshers) wanafunzi wageni waliokuwa wanakuja kuanza masomo. Na kama mabinti alikuwa anawataka kimapenzi sana. Ili awape msaada, wanapokuwa shida au hawajui information flan.

Hivi CCM huwa wana records za mtu, au huwa wanaokota tu mtu yoyote. Jamaa akipita nitakidharua hiko chama.

Afu nakumbuka jamaa hata degree hakumaliza. Na wala alikuwa haileweki anasoma chuo gani na anaingia darasani saa ngapi. Tulisikia tu amerudi bongo. Jamaa mishemishe na deals nyingi sana.

Duh bongo kweli majungu fitna!
 
Huo ni ufala mambo ya India na hilo yanahusiana nini!? Watu wengine bana! Ama ulitaka watu wajue ulisoma India!? ACHA HIZO JITOKEZE WEWE BASI TUONE HATA KAMA UTAJADILIWA sanasana utakuwa mmoja wa wale watakaokatwa kabla ya kufika kwenye vikao husika.

Ni wewe nini Mkuu? Manake umereact over huyu mlengwa!
 
Duh, nimestuka nilipoliona jina la baraka Kange. ni kifisadi papa hicho. Jamaa nimesoma nae India, ametapeli wengi kwa kweli. Hasahasa (freshers) wanafunzi wageni waliokuwa wanakuja kuanza masomo. Na kama mabinti alikuwa anawataka kimapenzi sana. Ili awape msaada, wanapokuwa shida au hawajui information flan.

Hivi CCM huwa wana records za mtu, au huwa wanaokota tu mtu yoyote. Jamaa akipita nitakidharua hiko chama.

Afu nakumbuka jamaa hata degree hakumaliza. Na wala alikuwa haileweki anasoma chuo gani na anaingia darasani saa ngapi. Tulisikia tu amerudi bongo. Jamaa mishemishe na deals nyingi sana.

Mkuu,
Umesoma nae, then hujui/haieleweki alisoma chuo gani!!!
Mbona unajichanganya mkubwa?
 
Afadhali hilo Bunge la sasa limefikia ukomo, wamefanya madudu sana na bila shaka wamechangia katika kudidimiza maslahi ya Tanzania ndani ya Jumuiya. Naombeni wote waliokuwa katika Bunge hilo wapigwe chini maana hawana msaada kwa Tanzania. Waingie watu wapya ambao nao wafanyiwe semina ili kujua ni nini wanachotakiwa kufanya ndani ya Bunge hilo. Yaani inafikia Mbunge wa Tanzania anapendekeza na kupelekea kutungwa kwa Sheria ya Jumuiya ya kusimamia raslimali za mipakani (Transboundary ecosystems!!!) Kama siyo kuuza nchi kwa wakenya ni nini sasa? Warudi tu kama walivyorudi Mwakyembe na Shelukindo.
 
Nathani apa si Mahala pa malumbano Mambo ya India yaishie ukouko kama unajipya tueleze mwache kijana apigane. nilitegemea ww uliye soma nae utamtia moyo mwenzako but ndiyo unapika majungu. kazi kwelikweli kama vijajana wenye tunaaribiana tutafika kweli?
hahaha, pole Baraka kange, ila mimi nimeongea ukweli. kama ni uongo jitetee mkubwa.
kiukweli watu kama nyie wezi na matapeli mkifugwa na kuletewa mzaha, mtazidi kuangamiza hili taifa letu. ni sawa na hawa kina ADAM MALIMA..... inawezekana wana historia kama yako.

mimi si muumini wa siasa, wala sihitaji kugombania uongozi wowote wa kisiasa....ila kaka CCM wakikuchagua, nitakidharau sana hiko chama... watajihidhirishia kuwa hamna watu wenye nidhamu humo ndani ya chama chenu. mpaka nyie matapeli mnapata nafasi ya kuwawakilisha jamii...duh
 
huyu jamaa wa porojo baharia naye anautaka kwani? leo mwisho kuchukua fomu kishaona maji marefu kwake
Wamesema waliojitokeza ni 32 na wakataja mjina ya BAADHI yao hatuwezi kujua labda yupo kwenye ambao hawatajwa.
 
mwenye orodha kamili ya waliochukua fomu hadi leo ambayo ni deadline CCM hebu atuwekee hapa jamvini tuwaone na kuwatafakari Huenda Haharia MUTUZ kanyaka fomu tayari
 
naamini muda utakapofika huyo Baraka Kange atajitokeza online kwani ninamjua vizuri, naamini kwanza ni tishio kwa baadhi ya vijana wengi,.....................tubiri tuone na mimi binafsi namuombea ashinde he is good and smart.....................!!
 
Baraka,Move on....!
 
na Makongoro Nyerere kachukua form.....
Huyu tayari ameshapita bila kupingwa.......maana Mkapa ndio amempeleka ili ahongwe ubunge kuzima mjadala wa mauwaji ya baba yake yalioratibiwa kwa umahiri mkubwa na Mkapa. Ubunge wa Afrika mashariki ni kichaka tu cha watu kwenda kutumbuwa kodi zetu hakuna tija yoyote.
 
.

Watu walimsimanga sana humu ndani huyu bwana baada ya kuonesha nia ya kuthubutu.Sasa isijekuwa akawa kavunjika moyo ingawa kwenye siasa zetu za dunia ya tatu ukiwa na moyo wa nyama hutakuja ziweza. Inakupasa uwe na moyo wa chuma na kifua kipana maana majungu,fitina,visa,mizengwe,unafiki n.k vinachukua sehemu kubwa ya siasa zetu.

Kumbe Le Baharia alichukua form na kuirudisha Alhamisi. Leo nimeona picha kwenye gazeti la Mtanzania Le Baharia akiwa anasalimiana na Ole Millya walipokutana kwenye ofisi za CCM Lumumba wakati walipoenda kuchukua form.
 
Yule mtoto wa malecela ameishia wapi tena?! Nakumbuka alisha tangaza nia. Au bado yuko Newyork city?

Yupo nae amechukua form! Inasemekana Nape ndio alimshawishi aje kugombea alipokutana nae New-York mwaka jana!!
 
Back
Top Bottom