Jamani ukiagiza gari Japan na ikafika ni service gani lazima ufanye kabla hujaendesha ijapokuwa ilishafanyiwa pre-inspection Japan? Natanguliza shukrani kwa mchango wa mawazo
Nataka kurudi kutoka mashariki ya mbali, lakini nasikia tetesi kuwa viwanja vyetu Bongo sio salama kabisa. Mabegi yanayokuwa checked nasikia masela wanakagua na kuchukua vitu vya thamani kama Laptop, Tablet, Saa, Mikufu, any kind gold and all valuable materials. Kuna ukweli katika hili?
Pia...
Msaada
Kwa wenye uzoefu makadirio ya kodi ya magari kwa TRA ukiingiza specification zote ndo gharama halisi ukipeleka documentation ukiagiza gari Japan?
Kati ya autorect na Befoward ni company gani wana quality cars?
Mwisho ukiagiza gari una save kiasi kizuri cha fedha ikilinganisha na kuchukua...
Heshima kwenu wadau!
Jamani kuna tofauti gani kwenye engine za Toyota hapo juu. Ni ipi yenye kuvumilia tabu na shida ktk rough and tuff road. Ni ipi economical kwenye fuel consumption? Ni ipi spea zake za bei nafuu? Ni ipi durable tena haitaji frequency service and maintenance?
Thanks for your...
Hapo kaka unatakiwa kucorrect heteroskedasticy, unaweza kutumia weighted least square au VIF, then baada ya hapo run the data utapata unbiased estimates. Ningekusaidia physically lakini nipo mashariki ya mbali
Wadau heshima kwenu, jamani kuna tofauti gani kati ya RAV 4 hizo hapo juu? Kwenye swala la quality, efficiency, economical in fuel consumption, durability etc ipi nzuri zaidi?
He hizi ndo zinaitwa Rav 4 Kill time mtaani?
Asanteni kwa ufafanuzi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.