Hakuna mahala popote kwenye biblia ambapo mchungaji alifungisha ndoa, hata Yesu mwenyewe alipoalikwa harusini alikaa kama mgeni tu
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Je hao wanawake wamelipa mahari kwa wazazi wa mme? Uliza swali lenye mantik basi.
Pia utaratibu mzima wa kufungia ndoa kanisani ni uhuni tu, kanisa limepoka mamlaka ya wazazi. Ni wazazi wa pande mbili pekee wanaoamua aidha kuwe na ndoa ama laaa, koz wazazi wa upande mmoja wakikataa hata huko...
Kuna cancer zinaandaliwa kwa kushirki kufanya michokoano muaka kadhaa mbele zitaleta shida na ndipo watakuja na dawa za kutibu hayo macancer na kuchajiwa a lot of money, saizi ngoja wafurahie but along the way watajua hawajui
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hawawezi kupata hamu ya kuwa na mwanaume kwa sababu mwanaume ni binadamu (damu na nyama) atadindisha after sometime machine itakata moto tena yawezekana mwanamke hajafika kileleni ili ainjoi, so huwezi kulinganisha na watu wanaotumia vidole ambavyo havichoki kudinda, yaani by default kidole...
Ungekua kweli una mahusiano mazuri na Mungu wako na umepata elimu ya dini usingetoa hoja za kishoga ambazo dini zinapinga na sio utaratibu tu wa zile African religion
Kama vpi leta facts za dini yoyete hapa nikupe shule uone jinsi gani ulivyo mweupe unageuzwageuzwa kama Bendera na hizo western...
Hiyo oagraph ya pili inayoongelea dini ya kweli umeielewa vp? Unaona mashoga hata kuelewa minor thing tu ni tatizo.
Je nafsi yako unaona inakushuhudia kupandwa na mwanaume mwenzio au kusagana ?
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hakuna mwanamke hapendi tu kuwa na mtoto eti kwa sababu hapendi kukutana na mwanaume, huo ni uongo they are psychologically affected ndio maana hawawezi kuinjoy mapenzi na jinsia nyingine.
Je umeshawahi ona mnyama yeyote be it paka, mbuzi, ng'ombe, njiwa wakipandana jinsia tofauti?
Kama sio...
Vipi mwanao wa kiume uliyebeba mimba miezi 9 unategemea akuletee wajukuu ukakuta ninampumulia utajisikiaje
Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
Hizi tulizo nazo nyingi ni taasisi za kidini za kibiashara, why mfanyabiashara yeyote hana huruma ndio maana wanakukaanga vizuri bila huruma juu ya sadaka, zaka n.k
Dini ya kweli hua imo ndani ya mtu hata kabla hajafundishwa na mtu yeyote, ila anapofundishwa anaongezea maarifa tu
Sent from my...
Wewe huelewi nn maana ya kanisa
Rc, Anglicans, KKT,atg,Pentecostalism and the like ni taasisi za kidini zenye muktadha wa mafundisho ya kikristo.
Kanisa la Kristo, ni mtu binafsi, jumuiya ambayo imeamua kukaa pamoja kuyaishi mafundisho ya Kristo kupitia neno lake,.
Ndio maana alisema saa ipo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.