Hii inaniumiza zaidi. So ACT imekuja kupunguza kura za Upinzani ili CCM ishinde zaidi. Kweli Magamba ni wajanja. Wapinzani kazeni buti hii vita ya wapinzani kuwapiga wapinzani inatoka kwa yule adui yetu mkuu ambaye ni CCM tu. ACT is backed with CCM to destroy Upinzani (UKAWA) Sentensi ya Mwisho...
Kinachonisikitisha ni huko kupinga WAPINZANI tu... Otherwise mkiwa na Mkakati wa kuwasaidia watanzania tutafurahi coz nia ya wengi ni kuwapa nafuu wa TZ. Ila mkiendelea na mikakati ya kuiangusha CHADEMA hamtafika popote.
Kinachoniudhi ni kwamba Barua haijulikani kaandikiwa nani. Makosa ya Kisarufi na kisintaksia. Siwezi kukoment ktk mengi aliyoandika kkwani siyajui. ila Kitendo cha kusema Kamati kuu haiwezi kuondoa mpasuko kinaonesha kuwa huyu ni miongoni mwa wanamtandao. Na inaonesha Mtandao ulipangwa na...
Jini likiikuona wewe ni Mbaya zaidi yake linakunyonya damu. Kumbe walikua hawajui kuwa yeye ni kiongozi wa Siasa? Bongo ni wahuni sana.:A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1:Kitilaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
NIKIWA KAMA MJUMBE WA HALIMASHAURI KUU YA CHADEMA (kwa utani), NIKIWAKILISHA JIMBO LA .................. NATANGAZA KUWA MJADALA UMEFUNGWA KWA MANUFAA YA UMMA NA CHAMA KWA UJUMLA. MTU AKIKURUPUKA NA KUANZA KUONGEA ALICHOOTA DAWA YAKE NI KUMFUNGIA MJADALA ILI AKALALE.\
NARUDIA KUUFUNGA MJADALA.
Kuanzia Mleta thread mpaka waliosapoti wote hamna point ya msingi. Mimi sio Mwana Siasa lakini sioni shida kwa Katibu mwenezi wa Chama kufanya uenezi. na ile ni collective responsibility ambapo maamuzi ya chama yanapaswa kukubalika kwa wanachama na viongozi kusimamia. Sioni kosa la Mh. Mnyika...
Kama huyo dada ni Mzoefu je Nani alimwambukiza mwenzake UKIMWI? Inawezekana tunatakiwa kuomba radhi kwa Mungu kuwa Tulikosea Kumbe Kapuya MH. ameambukizwa Maradhi na Msichana huyo Changudoa......:frusty::frusty:
Watu waliosomeshwa na Mbunge utawaona tu. Wanasema wasichikijua ila wanaona mafanikio ya jimbo ni kulipiwa ada. adayenyewe ktk shule ya Kata. Kajipange ndio ulete uzi wa kueleweka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.