Recent content by lalisa

  1. L

    JamiiForums Tanzania Bank Officers (NMB)

    Habari..mshaanz kutuma emaili kwa waliofanikiwa au bado
  2. L

    JamiiForums Tanzania Internship

    Naomba msaada wa kufaham kampuni au taasisi zinazopokea maombi ya internship, nina bachelor degree of Accountancy
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Graduates with knowledge in IP/Networking wanahitajika

    Padri naomba unipe muongozo namna ya kupangilia maneno yang wakat wa kutuma application through email, binafs huwa naandika application for bra bra, then natuma
  4. L

    JamiiForums Tanzania TRA

    Nafasi za kazi tra
  5. L

    JamiiForums Tanzania TRA

    Nafasi za kazi wametoa leo za dip, age not above 25.tembelea website yao
  6. L

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini maana ya kutumia nguvu katika mahusiano?

    Wapedwa, Mtu anapokwambia unatumia nguvu sana katika mahusiano, unafikiri anamaanisha nini?. Msaada plz
  7. L

    JamiiForums Tanzania TRA wameita watu kwenye usaili

    wadau ebu nisaidien watu wa tax assistant na preventive assistant watafanya pepa moja? na kwa upande wa tax assistant maswali ni yapi hasa
  8. L

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    19 mwez huu, itakuwa j2, tangazo halijaeleza atazungumzia nn
  9. L

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya amani kwa waliokosa mkopo HESLB tarehe 15 October

    tarehe 19, mida ya asubuh mheshimiwa Rais Kkwete atakuwepo mlimani city kuongea na wanafunzi wa vyuo vikuu, source TIA notesboard.
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wizara: Serikali haina uwezo kuwakopesha wanafunzi wote

    mwanzo wa kutuma maombi walisema wamejipanga kutoa mikopo wa kwa wanafunz 35000. sa hv wanadai wametoa kwa watu 30000, plz Bodi jarib kutusaidia watoto wa hali ya chin
  11. L

    JamiiForums Tanzania Majina ya mikopo kwa countinuing students

    hapa nami nahusika, naona kimya au ndio tushatemwa
  12. L

    JamiiForums Tanzania Watu waliofanya mitihani zamani wote wamenyimwa mikopo

    wanatafuta visababu visivyo vya msingi, nimemaliza dip 2012 au wanacheck miaka ya kumaliza fomu 4?
  13. L

    JamiiForums Tanzania HESLB wanamaana gani wakisema!

    bodi wanabahatisha mambo mi wameniandikia NOT ELIGIBLE FOR LOAN, COMPLETED FORM SIX O DIPLOMA THAN 3 YRS BACK, wakati nimemaliza 2012. huonev huu
  14. L

    JamiiForums Tanzania msaada wa kuniangalizia loan

    S305.16.2007
  15. L

    JamiiForums Tanzania wale waTIA [dsm]

    s0305/ 0016 na s1011/ 0045
Back
Top Bottom