Mbege umelewa?! Point yako ni kuwasema maboss wa TANESCO, Kila mtu anakerwa na kukatika umeme.Mimi sio mfanyakazi wa TANESCO, nafikiri katika hali tulivu.Ninavyoifahamu jiografia ya Tanzania kusema ukweli tunawalaumu bure watu hawa! HEPs zetu ni ndogo, miundo mbinu ni chakavu, usambazaji wa Kila...