Recent content by Laki7

  1. Laki7

    Ushauri: Nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha kukoboa nafaka

    Hao wa kibaigwa naweza pata namba zao.mm nipo mbeya nahtaji mashine ngumu
  2. Laki7

    Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

    Hili sio jipu Bali wanawasaidia watoto,hats ss tumesoma tuition ndio maana tumefika hapa. Bila masomo ya muda WA Ziada Ni kaz bureee
  3. Laki7

    Ujumbe mzito kwa taifa langu juu ya Tundu Lissu shujaa wetu

    Eehh Mungu mponye Tundu Lissu arudi katika kazi ya utetezi wa taifa letu. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Laki7

    Tundu Lissu ni wakala wa 'Economic Hit Men' au Mzalendo?

    Kuandika kiingereza haimaanish una mantiki ndani yako. Andika mambo yanayojenga. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Laki7

    Waziri wa Nishati na Madini kupatikana leo? Mangu kupelekwa Kilimanjaro?

    Atakuwa demoted, toka kuwa Mkuu wa jeshi la polisi hadi menyekiti wa ulinzi na usalama mkoa.
  6. Laki7

    Prof. Kitila Mkumbo, umeanza kwa kuchemka

    Sio wamiliki bali wasimamizi wa maji na sera zake.
  7. Laki7

    Prof. Kitila Mkumbo, umeanza kwa kuchemka

    Hiz wizara 2 znafanya kaz kwa muingiliano mkubwa, kuingiliana kwa majukumu huku ndiko watu kunatuchanganya kimsingi Kitila yuko sahihi ila hawez kutimiza hicho kipaumbele chake bila ku consult wizara nyingne.
  8. Laki7

    DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

    Utamuungaje mkono wakati anawatafuta "madogo" ila wakubwa anawaacha Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
  9. Laki7

    DAR: RC Makonda awataja Askari 9 watuhumiwa kushirikiana na mtandao wa Dawa za Kulevya. Wamo wasanii

    Hii vita si ndogo kama anavyodhan, anapodili na akina Ray C na wakati kuna manguli wa kuuza powder wengi tu na wanafahamika yeye ana deal na "vitoto". Hii ni sawa na nyumba ina short-circuit lkn hauzm kweny MAIN SWITCH Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom