😀😄😀😀......Ile kitu tamu brother...sio uzinzi....hata Brian deacon aliyeigiza picha la Yesu aliona mke wa kwanza lkn akaja kuachana nae harafu akaona mwingine.... sababu ni utam wala hamna kingine🤗🤗
Siku hizi ni kama nina bahati mbaya yaan Kila nikiotea kibint nakuta kinanuka ukeni .....yaan vingine vidogo tu lkn balaa....
Naomba msaada wa matibabu ya hii kitu maana Kuna bint mmoja alinisumbua miaka minne ndio kanikubalia siku kuu ya juzi....sasa nikajipanga kupiga doz ya maana lkn bahati...
Tuna rasilimali nyingi sana Tanzania,
Naomba kufahamishwa hata kama ni Kwa miaka mitano mitano top five ya sekta zilizoonogoza kwenye makusanyo mengi ya mapato (Kwa tshs),
Mfano wa sekta mojawapo ni kama.
1. Mbuga za wanyama Kwa ujumla
2. Bandari Kwa ujumla
3. Mifugo Kwa ujumla
4. Madini...
Wanazuoni.
Naomba anayefahamu asili ya Neno Tanganyika ni ipi? Ingawa nasikia hata DRC Kuna sehemu inaitwa Tanganyika.
Wazee wa zaman au wasomi wa historia msaada tafadhari
Naombeni msaada wa kueleweshwa maana TRA hawajanielewesha Kila nilipohitaji.
Juzi nilifika Ofisi za TRA kwa ajili ya kufanyiwa makadirio ya kodi. Nikakutana na ofisa pale nikazungumza nae na baada ya kujibu maswali na kukagua mashine ya EFD akanikadiria laki sita kwa mwaka kama kodi. Baada ya...
Taarifa ya habari Leo kwenye vyombo mbalimbali waziri wa kilimo amesema msimu huu kulikuwa na changamoto ya usambazaji wa mbolea.
Hivyo, msimu ujao watawatumia/watatumia vyama vya ushirika. Ni jambo jema kabisa.
Mimi nilikuwa ninawaza hivi hawawezi kuwatumia JKT?
JKT inahusika na Shughuli za...
Kwanini Ndege Bundi anatafisiriwa kiuchawi?
Nahis bundi ana faida nyingi sana...na ndio maana baadhi ya mashirika yanatumia kama nembo yao.....
Baadhi ya Sifa za bundi..
Bundi ana uwezo mkubwa wa kunusa Mnyama anayekaribia kufa, ana uwezo wa kuona karibu mara nane ya uwezo wa Binadamu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.